No offence meant jamani. I take my words.
I meant wote tu wanaokaa tu vidole juu, wawe ulaya au mbagala wote sawa. Unaweza kuchangia CHADEMA kama we ni mwanaCHADEMA au mpenzi wa siasa za demokrasia na maendeleo hata ukiwa mbiguni. Au unaweza kuandika makala.
By the way, mbona sijaona ukichambua masuala haya kwenye makala zako za jumatano? Hizi ni hoja zinazokosa mtetezi matokeo yake Habari za Balille za kupikwa kwenye mtanzania na Rai ndio zinawafanya wananchi waamini kuwa Chacha ni Shujaa aliyesimamishwa kama Vile Zitto alivyosimamishwa na CCM. Kumbe Chacha is a piece of crap. Nikikutana nae nitampasha maneno yake na nitawaletea mazungumzo yake nami kwenye
http://ashawazenj.blogspot.com. This guy is eating his own flesh for no apparent reasons! Kila mwanachama ana haki ya kukosoa lakini hakuna mwenye haki ya kusambaza uwongo, uzushi na majungu.
Asha