Kwanini CCM iliwaacha wagombea bora ikatuletea Magufuli?

Kwann chadema ilinunuliwa na mtu waliyetuaminisba kuwa n fisad kwa takriban 10 yrs na kubadil gia angan kumpa ridhaa ya kugombea urais ikiwatelekeza makada wake jangwan??
Agenda hapa ni ccm.hiyo ya Chadema ni siku nyingine.kuna maswali muhimu sana ya me ulizia na mtoa Mada ambayo yanahitaji yapatiwe majibu.Kwanza napenda kumjulisha mtoa Mada kuwa kwa wakati huo na kwa wagombea wote Magufuli was the best na ndio maana alichaguliwa na wajumbe wengi wa halmashauri kuu.
 
Kwanza naomba nikiri kuwa binafsi sikumchagua rais John Pombe Magufuli ingawa nilijua atashinda, sababu ni moja tu hakuwa mgombea bora.

Baada ya jina la Magufuli kupitishwa na mkutano mkuu wa CCM kuwa mgombea, wazo la kwanza lililonijia kichwani ni kuwa wajumbe wa CCM walijali maslahi ya chama zaidi kuliko nchi, kuwa walichoangalia wao ni chama kwanza kibaki salama lkn si kuteua mgombea bora ili aje kuwa kiongozi wa watanzania wote na sio kiongozi wa CCM.

Nikajiuliza, Usalama wa Taifa ulikuwa wapi kuzuia hili lisitokee, najua wasingeweza kupinga hadharani kutokana na maadili ya kazi lkn walikuwa na uwezo wa kuzuia kwa vile walijua fika udhaifu wa Magufuli.

Nilitaraji CCM watuletee watu kama Balozi Mahiga, Asha Migiro au Membe wazoefu wa diplomasia za kimataifa. Nilitegemea watuletee watu waadilifu wasio na doa kama kina Agustino Ramadhan, Mizengo Pinda, mama Samia au Shein, angalau basi wangetuletea jasusi la kimataifa kama Kitine kupambana na hujuma za majirani zetu kwenye soko huria la uchumi.

Hivi kweli CCM walishindwa vipi kuteua angalau mmoja bora kati ya hawa wagombea 38 waliojitokeza?

1. Bernard Membe
2. Balozi Mstaafu Agustine Mahiga,
3. Mizengo Pinda,
4. January Makamba,
5. Balozi Amina Said Alli,
6. Profesa Mark Mwandosya
7. Mama Samia Suluhu
8. Jaji Mstaafu Agustino Ramadhan,
9. Asha Rose Migiro.
10.Dk. Ali Mohamed Shein,
11.Dk. Hassy Kitine.

TUJISAHIHISHE, muda bado upo tusirudie makosa tena hapo 2020 tutajuta.

Mawazo huru kutoka kwa mwanaJF mzoefu Quinine.
Naona umeshaanza kunyooka! Tulia dawa ikuingie ili upone ugonjwa wako wakifisadi.
 
Kwa busara za kiuongozi unadhani Magufuli anamzidi Balozi Mahiga?

Tulimshuhudia HE JKM alikuwa na busara sana hadi aliaka watu Magogoni na alishiriki mambo mengi madogo madogo ya kijamii..hivyo basi kwa kifupi tu "Uongozi ni zaidi ya busara"
 
Tanzania hatuhitaji busara. Tukizihitaji tunawasha Radio Au tunaweka kanda kusikia hotuba za mwalimu Nyerere. Tz inahitaji hapa Kazi tu. Na ukiona mtu analia ujue umepata penyewe. Ungekuwa mkweli ungekubali tu Wtz wasanii sana pita maofisini. Ila kwa kuwa mnatumia na wanasiasa uchwara hamtaacha kusema na kutafuta kasoro tuuuuu. Mpka 2025 ila mngeweka majina yenu kabisa. Ili tukiwaona kwenye Dreamliner, later on kwenye Train La mwendo kasi nk nk tuwatoe mkapande za somalia. Mnatuchosha na Mnatubore. Stop advertising your frustrations and stupidity.
 
Tulimshuhudia HE JKM alikuwa na busara sana hadi aliaka watu Magogoni na alishiriki mambo mengi madogo madogo ya kijamii..hivyo basi kwa kifupi tu "Uongozi ni zaidi ya busara"
Kwenye busara ongeza hekima na maarifa ukikosa hivyo vyote juwa wewe siyo kiongozi ni mtawala au dikteta.
 
.....ila mngeweka majina yenu kabisa. Ili tukiwaona kwenye Dreamliner, later on kwenye Train La mwendo kasi nk nk tuwatoe mkapande za somalia. Mnatuchosha na Mnatubore. Stop advertising your frustrations and stupidity.
Akili za uvccm unafikiri dreamliner imenunuliwa na Magufuli.
 
Kwanza naomba nikiri kuwa binafsi sikumchagua rais John Pombe Magufuli ingawa nilijua atashinda, sababu ni moja tu hakuwa mgombea bora.

Baada ya jina la Magufuli kupitishwa na mkutano mkuu wa CCM kuwa mgombea, wazo la kwanza lililonijia kichwani ni kuwa wajumbe wa CCM walijali maslahi ya chama zaidi kuliko nchi, kuwa walichoangalia wao ni chama kwanza kibaki salama lkn si kuteua mgombea bora ili aje kuwa kiongozi wa watanzania wote na sio kiongozi wa CCM.

Nikajiuliza, Usalama wa Taifa ulikuwa wapi kuzuia hili lisitokee, najua wasingeweza kupinga hadharani kutokana na maadili ya kazi lkn walikuwa na uwezo wa kuzuia kwa vile walijua fika udhaifu wa Magufuli.

Nilitaraji CCM watuletee watu kama Balozi Mahiga, Asha Migiro au Membe wazoefu wa diplomasia za kimataifa. Nilitegemea watuletee watu waadilifu wasio na doa kama kina Agustino Ramadhan, Mizengo Pinda, mama Samia au Shein, angalau basi wangetuletea jasusi la kimataifa kama Kitine kupambana na hujuma za majirani zetu kwenye soko huria la uchumi.

Hivi kweli CCM walishindwa vipi kuteua angalau mmoja bora kati ya hawa wagombea 38 waliojitokeza?

1. Bernard Membe
2. Balozi Mstaafu Agustine Mahiga,
3. Mizengo Pinda,
4. January Makamba,
5. Balozi Amina Said Alli,
6. Profesa Mark Mwandosya
7. Mama Samia Suluhu
8. Jaji Mstaafu Agustino Ramadhan,
9. Asha Rose Migiro.
10.Dk. Ali Mohamed Shein,
11.Dk. Hassy Kitine.

TUJISAHIHISHE, muda bado upo tusirudie makosa tena hapo 2020 tutajuta.

Mawazo huru kutoka kwa mwanaJF mzoefu Quinine.
Mi nafikiri Mark angetufaa zaidi.
 
Walimjua fika Dr. John Magufuli - Kuwa Haambiliki!
Walimjua kabisa kuwa Daktari Jiwe hatishiki!
Walifahamu JP ni Mkali na Si Mpole!
Walijua kuwa Ni Mtu mwenye Caliber ya kipekee sana! - Get things done by any means necessary!
Walijua kuwa hapendi kupingwa pingwa hivi!
Walifahamu fika kuwa si rafiki sana wasiasa za mijadala!
Walifahamu kuwa Haipendi CCM!
Walifahamu kuwa yeye wapinzani kwake ni Rafiki zake wakubwa ...Hasa pale inapotokea hawampingi yeye.
Lakini bado Halmashauri Kuu ikamteua na Kumwamini kuipaisha CCM Juu!
JPM Tunyooshe Baba! we do feel The HEAT!
Mbona Chadema ilitaka kutuletea Fisadi Papa Lowasa??
 
Kwanza naomba nikiri kuwa binafsi sikumchagua rais John Pombe Magufuli ingawa nilijua atashinda, sababu ni moja tu hakuwa mgombea bora.

Baada ya jina la Magufuli kupitishwa na mkutano mkuu wa CCM kuwa mgombea, wazo la kwanza lililonijia kichwani ni kuwa wajumbe wa CCM walijali maslahi ya chama zaidi kuliko nchi, kuwa walichoangalia wao ni chama kwanza kibaki salama lkn si kuteua mgombea bora ili aje kuwa kiongozi wa watanzania wote na sio kiongozi wa CCM.

Nikajiuliza, Usalama wa Taifa ulikuwa wapi kuzuia hili lisitokee, najua wasingeweza kupinga hadharani kutokana na maadili ya kazi lkn walikuwa na uwezo wa kuzuia kwa vile walijua fika udhaifu wa Magufuli.

Nilitaraji CCM watuletee watu kama Balozi Mahiga, Asha Migiro au Membe wazoefu wa diplomasia za kimataifa. Nilitegemea watuletee watu waadilifu wasio na doa kama kina Agustino Ramadhan, Mizengo Pinda, mama Samia au Shein, angalau basi wangetuletea jasusi la kimataifa kama Kitine kupambana na hujuma za majirani zetu kwenye soko huria la uchumi.

Hivi kweli CCM walishindwa vipi kuteua angalau mmoja bora kati ya hawa wagombea 38 waliojitokeza?

1. Bernard Membe
2. Balozi Mstaafu Agustine Mahiga,
3. Mizengo Pinda,
4. January Makamba,
5. Balozi Amina Said Alli,
6. Profesa Mark Mwandosya
7. Mama Samia Suluhu
8. Jaji Mstaafu Agustino Ramadhan,
9. Asha Rose Migiro.
10.Dk. Ali Mohamed Shein,
11.Dk. Hassy Kitine.

TUJISAHIHISHE, muda bado upo tusirudie makosa tena hapo 2020 tutajuta.

Mawazo huru kutoka kwa mwanaJF mzoefu Quinine.
kilichotokea mpaka kumpata JIWE ni malumbano ya wakuu wastaafu kila mmoja kuwa na kete yake ndo mana tumejikuta tumeangukia kwa JIWE. na jiwe amepita kutokana na FISIEM ilikuwa ni vigumu kumsimamisha alieshinda uchaguzi huo (mwanamama) ambae aliomba zile kura za mamluki wa LOWASA na kwakuwa mamluki walikuwa hawajui wampigie nani na baadae kwa wingi wao walikubali kumpa swahiba wake lowasa na hatimae hesabu zilimkubali kwa kishindo.
utakubaliana namimi kwa kujiuliza kwanini MZEE WA MSOLWA aliahirisha kikao na kuamua kuongeza siku moja ili matokeo yatangazwe kesho yake. hii ni kutokana na majibu ya ndani ya mshindi yaliwachanganya. FISIEM HAWAWEZI KUKUBALI KUONGOZWA NA KWANZA MWANAMKE. PILI: MZANZIBAR... TATU MUISLAM hivi ndio vilikuwa vikwazo vikuu na ndivyo vilivyochangia JIWE kuangushiwa zigo la kuwakilisha FISIEM lkn kiuhalisia hakushinda.
na kwakuwa yule mama No, 5 hapo juu alijinadi kwa kuomba kura za lowasa basi hii imepelekea fisiem kutomkubali kwa kuwa kupewa nafasi hii itakuwa kama amepewa LOWASA na ndio maana hata nafasi ya kuwa MAKAMU WA RAIS hakupewa kwa hofu kuwa bado atakuwa na ukaribu na LOWASA. NDIO MAANA AKATOSWA.

cc: Quinine
 
cc: Makusudically
 
Mawazo ya gizani
 
Kwanza naomba nikiri kuwa binafsi sikumchagua rais John Pombe Magufuli ingawa nilijua atashinda, sababu ni moja tu hakuwa mgombea bora.

Baada ya jina la Magufuli kupitishwa na mkutano mkuu wa CCM kuwa mgombea, wazo la kwanza lililonijia kichwani ni kuwa wajumbe wa CCM walijali maslahi ya chama zaidi kuliko nchi, kuwa walichoangalia wao ni chama kwanza kibaki salama lkn si kuteua mgombea bora ili aje kuwa kiongozi wa watanzania wote na sio kiongozi wa CCM.

Nikajiuliza, Usalama wa Taifa ulikuwa wapi kuzuia hili lisitokee, najua wasingeweza kupinga hadharani kutokana na maadili ya kazi lkn walikuwa na uwezo wa kuzuia kwa vile walijua fika udhaifu wa Magufuli.

Nilitaraji CCM watuletee watu kama Balozi Mahiga, Asha Migiro au Membe wazoefu wa diplomasia za kimataifa. Nilitegemea watuletee watu waadilifu wasio na doa kama kina Agustino Ramadhan, Mizengo Pinda, mama Samia au Shein, angalau basi wangetuletea jasusi la kimataifa kama Kitine kupambana na hujuma za majirani zetu kwenye soko huria la uchumi.

Hivi kweli CCM walishindwa vipi kuteua angalau mmoja bora kati ya hawa wagombea 38 waliojitokeza?

1. Bernard Membe
2. Balozi Mstaafu Agustine Mahiga,
3. Mizengo Pinda,
4. January Makamba,
5. Balozi Amina Said Alli,
6. Profesa Mark Mwandosya
7. Mama Samia Suluhu
8. Jaji Mstaafu Agustino Ramadhan,
9. Asha Rose Migiro.
10.Dk. Ali Mohamed Shein,
11.Dk. Hassy Kitine.

TUJISAHIHISHE, muda bado upo tusirudie makosa tena hapo 2020 tutajuta.

Mawazo huru kutoka kwa mwanaJF mzoefu Quinine.
Mbona Lowassa hayumo
 
Kwa busara za kiuongozi unadhani Magufuli anamzidi Balozi Mahiga?

Yule ni balozi na mwana diplomasia kama alivyokuwa Kikwete.....hivyo hastahili kuwa rais kwani angechezewa akili na kudharauliwa na watendaji wake kama Kikwete. Rais ni mtu anayetakiwa kuwa na msimamo na a vision as Magufuli is, nitajei rais mwenye sifa kama Balozi Maiga aliyeheshimika ama kufanikiwa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom