Kwanini CCM iliwaacha wagombea bora ikatuletea Magufuli?

Kwanza naomba nikiri kuwa binafsi sikumchagua rais John Pombe Magufuli ingawa nilijua atashinda, sababu ni moja tu hakuwa mgombea bora.

Baada ya jina la Magufuli kupitishwa na mkutano mkuu wa CCM kuwa mgombea, wazo la kwanza lililonijia kichwani ni kuwa wajumbe wa CCM walijali maslahi ya chama zaidi kuliko nchi, kuwa walichoangalia wao ni chama kwanza kibaki salama lkn si kuteua mgombea bora ili aje kuwa kiongozi wa watanzania wote na sio kiongozi wa CCM.

Nikajiuliza, Usalama wa Taifa ulikuwa wapi kuzuia hili lisitokee, najua wasingeweza kupinga hadharani kutokana na maadili ya kazi lkn walikuwa na uwezo wa kuzuia kwa vile walijua fika udhaifu wa Magufuli.

Nilitaraji CCM watuletee watu kama Balozi Mahiga, Asha Migiro au Membe wazoefu wa diplomasia za kimataifa. Nilitegemea watuletee watu waadilifu wasio na doa kama kina Agustino Ramadhan, Mizengo Pinda, mama Samia au Shein, angalau basi wangetuletea jasusi la kimataifa kama Kitine kupambana na hujuma za majirani zetu kwenye soko huria la uchumi.

Hivi kweli CCM walishindwa vipi kuteua angalau mmoja bora kati ya hawa wagombea 38 waliojitokeza?

1. Bernard Membe
2. Balozi Mstaafu Agustine Mahiga,
3. Mizengo Pinda,
4. January Makamba,
5. Balozi Amina Said Alli,
6. Profesa Mark Mwandosya
7. Mama Samia Suluhu
8. Jaji Mstaafu Agustino Ramadhan,
9. Asha Rose Migiro.
10.Dk. Ali Mohamed Shein,
11.Dk. Hassy Kitine.

TUJISAHIHISHE, muda bado upo tusirudie makosa tena hapo 2020 tutajuta.

Mawazo huru kutoka kwa mwanaJF mzoefu Quinine.
Watu mna maono ya mbali sana, ila kwa msaada wa Munngu tutafanikiwa
 
1657241667646.png
 
1657242047748.png
 
Na Samia? Wewe ulimtaka nani.
Samia ni mbadala tu. Siyo jembe original. Ukipewa kuchagua kati ya Toyota Corolla na Mercedes Benz S-Class, ni lazima utachagua ile S-Class (The Best or Nothing). Sasa iwapo S-Class yako ikiungua moto utalazimika kukubali kutumia Corolla. Hiyo ndiyo hali halisi. S-Class yetu (The Best or Nothing) imetangulia mbele ya haki itabidi tutumie Corolla tuliyoachiwa (The necessary alternative).
 
Anayeendelea kumsikiliza Ulimwengu leo hii naye ana mapungufu makubwa ya akili; huyu siyo mmoja wa watu wa kusikilizwa tena tangu aliposalimisha gazeti lake la Mtanzania kwa wahusika kwa lengo analolijua yeye.
hayo yalimpata yeye na wewe ungalikuwa ni yeye ungetekeleza tena sio kwa kupenda ni LAZIMA kwahiyo kama unaona kwako wewe hafai kwa wengine anafaa kama alivyo kuwa yule raisi kichaa aliye nyakuliwa na MUNGU.
 
Kuna mijitu ina mnang'a hayati rais wetu mpendwa kama yenyewe yataishi milele,

Kifo ni jambo la lazima,JPM alishaumaliza ujana na sasa aliuanza uzee, ametumikia nyadhifa nyingi,kama bata kala kwelikweli...

Sasa jiulize wewe una umri gani na utaishi milele?
 
Mie bado naamini Rais bora atatokana na Katiba Mpya... kwa hiyo cha msingi kwanza turudi kwenye katiba kuweka misingi imara ya namna ya kumpata huyo Rais tunayemtarajia pamoja na misingi imara ya uendeshaji wa nchi yetu.

Kwa katiba hii hata nikiingia mimi niwe Rais, lazima mambo yatavurugika tu - ni mfumo ndiyo unaovuruga mambo na si mtu.

Jiwe alifanya hayo kwani mfumo wetu ulimruhusu kwa hiyo muda mwingine tusimlaumu saana.
 
Samia ni mbadala tu. Siyo jembe original. Ukipewa kuchagua kati ya Toyota Corolla na Mercedes Benz S-Class, ni lazima utachagua ile S-Class (The Best or Nothing). Sasa iwapo S-Class yako ikiungua moto utalazimika kukubali kutumia Corolla. Hiyo ndiyo hali halisi. S-Class yetu (The Best or Nothing) imetangulia mbele ya haki itabidi tutumie Corolla tuliyoachiwa (The necessary alternative).
Kwahiyo Samia ni Corolla tuliyoachiwa?
 
Kwanza naomba nikiri kuwa binafsi sikumchagua rais John Pombe Magufuli ingawa nilijua atashinda, sababu ni moja tu hakuwa mgombea bora.

Baada ya jina la Magufuli kupitishwa na mkutano mkuu wa CCM kuwa mgombea, wazo la kwanza lililonijia kichwani ni kuwa wajumbe wa CCM walijali maslahi ya chama zaidi kuliko nchi, kuwa walichoangalia wao ni chama kwanza kibaki salama lkn si kuteua mgombea bora ili aje kuwa kiongozi wa watanzania wote na sio kiongozi wa CCM.

Nikajiuliza, Usalama wa Taifa ulikuwa wapi kuzuia hili lisitokee, najua wasingeweza kupinga hadharani kutokana na maadili ya kazi lkn walikuwa na uwezo wa kuzuia kwa vile walijua fika udhaifu wa Magufuli.

Nilitaraji CCM watuletee watu kama Balozi Mahiga, Asha Migiro au Membe wazoefu wa diplomasia za kimataifa. Nilitegemea watuletee watu waadilifu wasio na doa kama kina Agustino Ramadhan, Mizengo Pinda, mama Samia au Shein, angalau basi wangetuletea jasusi la kimataifa kama Kitine kupambana na hujuma za majirani zetu kwenye soko huria la uchumi.

Hivi kweli CCM walishindwa vipi kuteua angalau mmoja bora kati ya hawa wagombea 38 waliojitokeza?

1. Bernard Membe
2. Balozi Mstaafu Agustine Mahiga,
3. Mizengo Pinda,
4. January Makamba,
5. Balozi Amina Said Alli,
6. Profesa Mark Mwandosya
7. Mama Samia Suluhu
8. Jaji Mstaafu Agustino Ramadhan,
9. Asha Rose Migiro.
10.Dk. Ali Mohamed Shein,
11.Dk. Hassy Kitine.

TUJISAHIHISHE, muda bado upo tusirudie makosa tena hapo 2020 tutajuta.

Mawazo huru kutoka kwa mwanaJF mzoefu Quinine.
WALIRUKWA NA UBONGO
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom