Maneno yako hayo utayafuta siku ACACIA watakapoidai nchi hii matrilion ya dola kwa mawazo yake ya ki primitive.TIME 'LL TELL.Rais wetu Magufuli tumepewa na Mwenye Enzi Mungu walahi
Maneno yako hayo utayafuta siku ACACIA watakapoidai nchi hii matrilion ya dola kwa mawazo yake ya ki primitive.TIME 'LL TELL.Rais wetu Magufuli tumepewa na Mwenye Enzi Mungu walahi
Acacia wezi tu ningekuwa mi magufuli ningewasweka ndaniManeno yako hayo utayafuta siku ACACIA watakapoidai nchi hii matrilion ya dola kwa mawazo yake ya ki primitive.TIME 'LL TELL.
Naamini ya kwamba angechaguliwa mwingine,kuna ambao wangepinga na kusema kwa mini ccm ilimeacha mchapakazi kama magufuli na kutuletea huyu member ambaye anaendeleza Sera za jk za kusafiri safiri tu?Nina furahi kuona kuwa hata Chadema wana amini kuwa Rais bora lazima atoke CCM .....Huyo unae muona si bora wana CCM tulimuona ni bora..kuliko hao ulio wataja...
Usijali lakini baada ya 2025 tutawaletea bora mwingine pengine atatoka kwa hao unao waona bora...Lakini kwa sasa kwetu Magufuli ni bora kabisa na alipatikana kwa demokrasia.
KIDUMU CHAMA BORA CHA MAPINDUZI
Akina Tuntufye utajua tuuuMark Mwandosya
That is what happens when a fool is trying to "spin" the agenda.Hiyo ni mada tofauti kabisa na yangu ungekuwa ni mtihani ungepata 0%.
Labda shetani kwenye alimashaur kuu ya ccm alkua kazni effectively
Tuombe uzima tu mkuu 2025 tunawaletea chaguo la mioyo yenu hapo juu,kwny hiyo idadi ongeza na Makame Mbarawa na mama Samia
Membe huyu huyu aliyesema ameoteshwa eti akichaguliwa maadui zake sijui 30 watakimbilia Kenya?
Rekebisho, mada sio ya rais bora bali mgombea bora kulilo wote aliopambana nao huko ccm.Ungekuja na kasoro za Membe au Mwandosya ungeeleweka lkn kusema sina akili haiwezi ku justify kuwa Magufuli ni rais bora.
Si rahisi kiasi hicho, hata Magufuli anatamani awafunge lkn hawezi.Acacia wezi tu ningekuwa mi magufuli ningewasweka ndani
Ni kweli siku hizi hatuwasikii hao hasa waliokuwa wanatamba na pesa zao kina, Seti, Manji, siku hizi wanaotamba ni washamba waliopewa madaraka kina Makonda, kina Muro, na wapambe wao kina Musiba ndio wanaosema utanijua mimi nani.Siku hizi hatusikii unanijua Mimi ni nani?
"God had already left Africa long time ago"
kama wataka kujidanganya endelea lakini ukweli utabaki pale pale kwa ccm hakuna mgombea bora wote ni mabomu tu na kwa taarifa yako Tanzania will never develop under ccm hata kwa miaka mia. ikiwa nyerere ndie aliyekuwa best raisi na hakufanya lolote laa maana zaidi ya kuendeleza umasikini japo kuwa nchi imesheheni rasilimali nyingi mno.Kwanza naomba nikiri kuwa binafsi sikumchagua rais John Pombe Magufuli ingawa nilijua atashinda, sababu ni moja tu hakuwa mgombea bora.
Baada ya jina la Magufuli kupitishwa na mkutano mkuu wa CCM kuwa mgombea, wazo la kwanza lililonijia kichwani ni kuwa wajumbe wa CCM walijali maslahi ya chama zaidi kuliko nchi, kuwa walichoangalia wao ni chama kwanza kibaki salama lkn si kuteua mgombea bora ili aje kuwa kiongozi wa watanzania wote na sio kiongozi wa CCM.
Nikajiuliza, Usalama wa Taifa ulikuwa wapi kuzuia hili lisitokee, najua wasingeweza kupinga hadharani kutokana na maadili ya kazi lkn walikuwa na uwezo wa kuzuia kwa vile walijua fika udhaifu wa Magufuli.
Nilitaraji CCM watuletee watu kama Balozi Mahiga, Asha Migiro au Membe wazoefu wa diplomasia za kimataifa. Nilitegemea watuletee watu waadilifu wasio na doa kama kina Agustino Ramadhan, Mizengo Pinda, mama Samia au Shein, angalau basi wangetuletea jasusi la kimataifa kama Kitine kupambana na hujuma za majirani zetu kwenye soko huria la uchumi.
Hivi kweli CCM walishindwa vipi kuteua angalau mmoja bora kati ya hawa wagombea 38 waliojitokeza?
1. Bernard Membe
2. Balozi Mstaafu Agustine Mahiga,
3. Mizengo Pinda,
4. January Makamba,
5. Balozi Amina Said Alli,
6. Profesa Mark Mwandosya
7. Mama Samia Suluhu
8. Jaji Mstaafu Agustino Ramadhan,
9. Asha Rose Migiro.
10.Dk. Ali Mohamed Shein,
11.Dk. Hassy Kitine.
TUJISAHIHISHE, muda bado upo tusirudie makosa tena hapo 2020 tutajuta.
Mawazo huru kutoka kwa mwanaJF mzoefu Quinine.
Kwanza naomba nikiri kuwa binafsi sikumchagua rais John Pombe Magufuli ingawa nilijua atashinda, sababu ni moja tu hakuwa mgombea bora.
Baada ya jina la Magufuli kupitishwa na mkutano mkuu wa CCM kuwa mgombea, wazo la kwanza lililonijia kichwani ni kuwa wajumbe wa CCM walijali maslahi ya chama zaidi kuliko nchi, kuwa walichoangalia wao ni chama kwanza kibaki salama lkn si kuteua mgombea bora ili aje kuwa kiongozi wa watanzania wote na sio kiongozi wa CCM.
Nikajiuliza, Usalama wa Taifa ulikuwa wapi kuzuia hili lisitokee, najua wasingeweza kupinga hadharani kutokana na maadili ya kazi lkn walikuwa na uwezo wa kuzuia kwa vile walijua fika udhaifu wa Magufuli.
Nilitaraji CCM watuletee watu kama Balozi Mahiga, Asha Migiro au Membe wazoefu wa diplomasia za kimataifa. Nilitegemea watuletee watu waadilifu wasio na doa kama kina Agustino Ramadhan, Mizengo Pinda, mama Samia au Shein, angalau basi wangetuletea jasusi la kimataifa kama Kitine kupambana na hujuma za majirani zetu kwenye soko huria la uchumi.
Hivi kweli CCM walishindwa vipi kuteua angalau mmoja bora kati ya hawa wagombea 38 waliojitokeza?
1. Bernard Membe
2. Balozi Mstaafu Agustine Mahiga,
3. Mizengo Pinda,
4. January Makamba,
5. Balozi Amina Said Alli,
6. Profesa Mark Mwandosya
7. Mama Samia Suluhu
8. Jaji Mstaafu Agustino Ramadhan,
9. Asha Rose Migiro.
10.Dk. Ali Mohamed Shein,
11.Dk. Hassy Kitine.
TUJISAHIHISHE, muda bado upo tusirudie makosa tena hapo 2020 tutajuta.
Mawazo huru kutoka kwa mwanaJF mzoefu Quinine.
Watanzania trip hii tumepatikana.
Si kweliWAGOMBEA 42,
Aliyepatikana ndie BORA ZAIDI ???!!!!
#GodHelp