Kwanini CCM iliwaacha wagombea bora ikatuletea Magufuli?

Nina furahi kuona kuwa hata Chadema wana amini kuwa Rais bora lazima atoke CCM .....Huyo unae muona si bora wana CCM tulimuona ni bora..kuliko hao ulio wataja...
Usijali lakini baada ya 2025 tutawaletea bora mwingine pengine atatoka kwa hao unao waona bora...Lakini kwa sasa kwetu Magufuli ni bora kabisa na alipatikana kwa demokrasia.

KIDUMU CHAMA BORA CHA MAPINDUZI
Kumbe kimekuwa CBCM!
 
Kwanza naomba nikiri kuwa binafsi sikumchagua rais John Pombe Magufuli ingawa nilijua atashinda, sababu ni moja tu hakuwa mgombea bora.

Baada ya jina la Magufuli kupitishwa na mkutano mkuu wa CCM kuwa mgombea, wazo la kwanza lililonijia kichwani ni kuwa wajumbe wa CCM walijali maslahi ya chama zaidi kuliko nchi, kuwa walichoangalia wao ni chama kwanza kibaki salama lkn si kuteua mgombea bora ili aje kuwa kiongozi wa watanzania wote na sio kiongozi wa CCM.

Nikajiuliza, Usalama wa Taifa ulikuwa wapi kuzuia hili lisitokee, najua wasingeweza kupinga hadharani kutokana na maadili ya kazi lkn walikuwa na uwezo wa kuzuia kwa vile walijua fika udhaifu wa Magufuli.

Nilitaraji CCM watuletee watu kama Balozi Mahiga, Asha Migiro au Membe wazoefu wa diplomasia za kimataifa. Nilitegemea watuletee watu waadilifu wasio na doa kama kina Agustino Ramadhan, Mizengo Pinda, mama Samia au Shein, angalau basi wangetuletea jasusi la kimataifa kama Kitine kupambana na hujuma za majirani zetu kwenye soko huria la uchumi.

Hivi kweli CCM walishindwa vipi kuteua angalau mmoja bora kati ya hawa wagombea 38 waliojitokeza?

1. Bernard Membe
2. Balozi Mstaafu Agustine Mahiga,
3. Mizengo Pinda,
4. January Makamba,
5. Balozi Amina Said Alli,
6. Profesa Mark Mwandosya
7. Mama Samia Suluhu
8. Jaji Mstaafu Agustino Ramadhan,
9. Asha Rose Migiro.
10.Dk. Ali Mohamed Shein,
11.Dk. Hassy Kitine.

TUJISAHIHISHE, muda bado upo tusirudie makosa tena hapo 2020 tutajuta.

Mawazo huru kutoka kwa mwanaJF mzoefu Quinine.
Kikaletwa kiberenge mzeee...kelele nyingi lkn hakina hata uwezo wa kubeba behewa!
 
2020? Jamaa ni Kagame huyo au Nkrunzinza atatoka kwa mtutu huyo.
 
Mbona mtoa mada unawachagulia watu vitu vya kupost.....!!? Mbona unataka kuona mawazo yanayokupendeza wewe...!!?

Lowasa hakuwa miongoni mwa walioomba ridhaa ya CCM Sasa mbona kwenye list yako hukumuweka...!!?

Maana hukuwa unaamini kuwa ni kiongozi mzuri ..!? Maana Lowasa amehamia CDM baada ya kuenguliwa CCM
Hizo ndio sera za chagadema wanachoamua wao ndio kizuri
 
Hao wote hapo angechaguliwa mmoja mgendelea kutuibia kama tawala zilizopita.
Umenena ukweli , hata hawa wanaowalaumu sasa wakiingia chadema watasifiwa kweli kweli like lowasa sasa hivi ni malaika hahaha kweli mwenye masikio haambiwi sikiliza
 
Mkuu sababu umeshaisema mwenyewe, CCM walitaka chama kibaki Salama/madarakani, Na dio madhumuni ya chama cha siasa, Kwa maana hiyo hao 11 ulio wataja wasingekiacha chama salama.
Unategemea upate sababu nyingine?
Sababu si hiyo mkuu ,magufuli aliuokota urais bila kutarajia,kilichotokea ni baada ya Lowassa kukatwa jina makusudi na kikwete,kikwete alikuwa anamtaka membe,sasa alipokatwa jina Lowassa ,usalama wa taifa waliokuwa kambi ya Lowassa wakatoa siri juu ya mil 750 zilizokuwa zimejaa kwenye mabegi zilizokuwa zimeletwa Dodoma na mhasibu wa manji maalumu kwa ajili ya kuwahonga wajumbe wa NEC ambao 85% walikuwa upande wa Lowassa ili wampitishe membe.
Baada ya siri kuvuja,mpango wa kikwete ukawa umeharibika,yakabaki majina matatu tu,1.Magufuli2.Amina 3.Migiro ndo kina mzee mwinyi na mkapa wakaona ni bora wampe magufuli tu,ila nyuma ya pazia ilikuwa ni furaha kubwa sana kwa mkapa ambaye alikuwa akimtaka magufuli ila hakuwa na uwezo wa kuchezesha karata zaidi ya kupendekeza jina lake ktk mchujo wa awali.
Kwa kikwete ilikuwa ni siku mbaya sana kuwahi kumtokea maishani mwake,kikwete anamjua magufuli vizuri mno,hampendi kabisa,na hata kumpatia uwaziri ilikuwa ni shinikizo la mkapa tu,na utakumbuka jinsi alivyokuwa akimtupa wizara tofauti tofauti.
Dhambi inayomtesa kikwete ni kumkata Lowassa makusudi,kwanza kashfa ya Richmond ilikuwa ni ya kutengeneza tu,ili kumchafua Lowassa mapema akose hadhi na mvuto wa Kugombea urais,kikwete ni mtu mbaya sana,usimwone na tabasamu lake hilo,nina mengi ya kuongea,nikisema niweke uzi maalumu wa hili jambo,mods watafuta tu.
 
Kwanza naomba nikiri kuwa binafsi sikumchagua rais John Pombe Magufuli ingawa nilijua atashinda, sababu ni moja tu hakuwa mgombea bora.

Baada ya jina la Magufuli kupitishwa na mkutano mkuu wa CCM kuwa mgombea, wazo la kwanza lililonijia kichwani ni kuwa wajumbe wa CCM walijali maslahi ya chama zaidi kuliko nchi, kuwa walichoangalia wao ni chama kwanza kibaki salama lkn si kuteua mgombea bora ili aje kuwa kiongozi wa watanzania wote na sio kiongozi wa CCM.

Nikajiuliza, Usalama wa Taifa ulikuwa wapi kuzuia hili lisitokee, najua wasingeweza kupinga hadharani kutokana na maadili ya kazi lkn walikuwa na uwezo wa kuzuia kwa vile walijua fika udhaifu wa Magufuli.

Nilitaraji CCM watuletee watu kama Balozi Mahiga, Asha Migiro au Membe wazoefu wa diplomasia za kimataifa. Nilitegemea watuletee watu waadilifu wasio na doa kama kina Agustino Ramadhan, Mizengo Pinda, mama Samia au Shein, angalau basi wangetuletea jasusi la kimataifa kama Kitine kupambana na hujuma za majirani zetu kwenye soko huria la uchumi.

Hivi kweli CCM walishindwa vipi kuteua angalau mmoja bora kati ya hawa wagombea 38 waliojitokeza?

1. Bernard Membe
2. Balozi Mstaafu Agustine Mahiga,
3. Mizengo Pinda,
4. January Makamba,
5. Balozi Amina Said Alli,
6. Profesa Mark Mwandosya
7. Mama Samia Suluhu
8. Jaji Mstaafu Agustino Ramadhan,
9. Asha Rose Migiro.
10.Dk. Ali Mohamed Shein,
11.Dk. Hassy Kitine.

TUJISAHIHISHE, muda bado upo tusirudie makosa tena hapo 2020 tutajuta.

Mawazo huru kutoka kwa mwanaJF mzoefu Quinine.
Ubora wao ni upi haswa? kwa nchi ilipokua imefika Magufuli hakuwa na anayemfuatia
 
Lowassa angekuwa rais huu upuuzi unaoendelea sasa hivi usingekuwepo
 
Trump amekuwa raisi bila kutegemea vivyo hivyo Magufuli alilamba Bingo bila kutegemea.
Uraisi hausomewi,na sio kila aliejiona bora kuliko wenzie akaukwaa uraisi.
 
Fani ya sayansi huwa haiandai watu kuwa viongozi maana hawana upeo nje ya fani yao, viongozi bora popote dunia wametokea fani za siasa,uchumi, Sheria,sanaa,uhusiano wa kimataifa, nk.

1. Pope Francis -Chemical Technician
2. Angela Merkel -PhD in quantum Chemistry
3. John F. Kennedy -Bachelor of science cum laude
4. Jimmy Carter -Bachelor of science
5. Margreth Thatcher -Bachelor of science
 
Sababu si hiyo mkuu ,magufuli aliuokota urais bila kutarajia,kilichotokea ni baada ya Lowassa kukatwa jina makusudi na kikwete,kikwete alikuwa anamtaka membe,sasa alipokatwa jina Lowassa ,usalama wa taifa waliokuwa kambi ya Lowassa wakatoa siri juu ya mil 750 zilizokuwa zimejaa kwenye mabegi zilizokuwa zimeletwa Dodoma na mhasibu wa manji maalumu kwa ajili ya kuwahonga wajumbe wa NEC ambao 85% walikuwa upande wa Lowassa ili wampitishe membe.
Baada ya siri kuvuja,mpango wa kikwete ukawa umeharibika,yakabaki majina matatu tu,1.Magufuli2.Amina 3.Migiro ndo kina mzee mwinyi na mkapa wakaona ni bora wampe magufuli tu,ila nyuma ya pazia ilikuwa ni furaha kubwa sana kwa mkapa ambaye alikuwa akimtaka magufuli ila hakuwa na uwezo wa kuchezesha karata zaidi ya kupendekeza jina lake ktk mchujo wa awali.
Kwa kikwete ilikuwa ni siku mbaya sana kuwahi kumtokea maishani mwake,kikwete anamjua magufuli vizuri mno,hampendi kabisa,na hata kumpatia uwaziri ilikuwa ni shinikizo la mkapa tu,na utakumbuka jinsi alivyokuwa akimtupa wizara tofauti tofauti.
Dhambi inayomtesa kikwete ni kumkata Lowassa makusudi,kwanza kashfa ya Richmond ilikuwa ni ya kutengeneza tu,ili kumchafua Lowassa mapema akose hadhi na mvuto wa Kugombea urais,kikwete ni mtu mbaya sana,usimwone na tabasamu lake hilo,nina mengi ya kuongea,nikisema niweke uzi maalumu wa hili jambo,mods watafuta tu.
Sasa mkuu Rais ni JPM, we chukua jembe ukalime. Hizi historia nyingine hazina maana kwa sasa.
 
Hiyo ni mada tofauti kabisa na yangu ungekuwa ni mtihani ungepata 0%.

Hiyo sio mada tofauti, sema imefifisha mada uliyoileta kiasi kwamba watakaochangia no wale walio na mitazamo kama yako
 
CCM walijibu kiu ya watanzania walio wachache wa upinzani walioomba aje rais mkali na walio wengi waliomchagua. Kwa ufupi tunaweza kusema CCM walifanikiwa katika yote mawili.

Leo hao hao wachache waliokuwa wanaomba aletwe mkali ndo wanaolalama huku wengi tuliomchagu tukifurahia kwani tulijua toka kwenye kampeni pale mzee Makamba alipotukumbusha kwamba ajaye atatubatiza ubatizo wa moto, tukaelewa vyema kabisa, tukajiandaa na kisha tukamleta abatize kwa moto. Itakuwa ni ajabu leo aanze tena kubatiza kwa maji, tutashangaa na tutahoji kwanini.
 
Tuliposema tunahitaji rais mkali hatukumaanisha mkali kwa sura wala rais mwenye roho mbaya bali anayefuata misingi ya sheria bila kumuonea mtu wala kumpendelea mtu.
 
Kwanza naomba nikiri kuwa binafsi sikumchagua rais John Pombe Magufuli ingawa nilijua atashinda, sababu ni moja tu hakuwa mgombea bora.

Baada ya jina la Magufuli kupitishwa na mkutano mkuu wa CCM kuwa mgombea, wazo la kwanza lililonijia kichwani ni kuwa wajumbe wa CCM walijali maslahi ya chama zaidi kuliko nchi, kuwa walichoangalia wao ni chama kwanza kibaki salama lkn si kuteua mgombea bora ili aje kuwa kiongozi wa watanzania wote na sio kiongozi wa CCM.

Nikajiuliza, Usalama wa Taifa ulikuwa wapi kuzuia hili lisitokee, najua wasingeweza kupinga hadharani kutokana na maadili ya kazi lkn walikuwa na uwezo wa kuzuia kwa vile walijua fika udhaifu wa Magufuli.

Nilitaraji CCM watuletee watu kama Balozi Mahiga, Asha Migiro au Membe wazoefu wa diplomasia za kimataifa. Nilitegemea watuletee watu waadilifu wasio na doa kama kina Agustino Ramadhan, Mizengo Pinda, mama Samia au Shein, angalau basi wangetuletea jasusi la kimataifa kama Kitine kupambana na hujuma za majirani zetu kwenye soko huria la uchumi.

Hivi kweli CCM walishindwa vipi kuteua angalau mmoja bora kati ya hawa wagombea 38 waliojitokeza?

1. Bernard Membe
2. Balozi Mstaafu Agustine Mahiga,
3. Mizengo Pinda,
4. January Makamba,
5. Balozi Amina Said Alli,
6. Profesa Mark Mwandosya
7. Mama Samia Suluhu
8. Jaji Mstaafu Agustino Ramadhan,
9. Asha Rose Migiro.
10.Dk. Ali Mohamed Shein,
11.Dk. Hassy Kitine.

TUJISAHIHISHE, muda bado upo tusirudie makosa tena hapo 2020 tutajuta.

Mawazo huru kutoka kwa mwanaJF mzoefu Quinine.
Hapo labda Membe tu,hao wengine ndo walewale
 
Tuliposema tunahitaji rais mkali hatukumaanisha mkali kwa sura wala rais mwenye roho mbaya bali anayefuata misingi ya sheria bila kumuonea mtu wala kumpendelea mtu.
Nyinyi wenyewe mkasema aje "dikteta" na leo mnadai afate sheria, ni dikteta gani mliwahi kumwona akifata sheria?

Hivi nyie mnaopiga kelele ndo mnaumia saaaana na wengine hawaumii?
 
Quinine, TULIMUCHAGUA MAGUFULI KUWA RAIS PAMOJA NA KWAMBA HAKUWA NA SIYO BORA ILA KWA SABABU ALIKUWA NA NI BORA KULIKO WOTE WALIOJITOKEZA ; KWA HIYO TULIFANYA UAMUZI SAHIHI NA ITABIDI UTUVUMILIE HADI 2025 AMA KAMA HUWEZI HAMIA KWA MKOPO SOMALIA
 
Hiyo ni mada tofauti kabisa na yangu ungekuwa ni mtihani ungepata 0%.

Daah nimecheka hadi bia imenipalia,,huu ni mgongano tuu wa hoja, Quinine mjibu huyo kwa hoja halafu tuendelee [emoji16][emoji16]
 
Back
Top Bottom