Dah....akiwa dereva wa basi la MwendokasiNina furahi kuona kuwa hata Chadema wana amini kuwa Rais bora lazima atoke CCM .....Huyo unae muona si bora wana CCM tulimuona ni bora..kuliko hao ulio wataja...
Usijali lakini baada ya 2025 tutawaletea bora mwingine pengine atatoka kwa hao unao waona bora...Lakini kwa sasa kwetu Magufuli ni bora kabisa na alipatikana kwa demokrasia.
KIDUMU CHAMA BORA CHA MAPINDUZI
Nimesema Lowassa angekuwa rais bora kuliko Magufuli.Mbona mtoa mada unawachagulia watu vitu vya kupost.....!!? Mbona unataka kuona mawazo yanayokupendeza wewe...!!?
Lowasa hakuwa miongoni mwa walioomba ridhaa ya CCM Sasa mbona kwenye list yako hukumuweka...!!?
Maana hukuwa unaamini kuwa ni kiongozi mzuri ..!? Maana Lowasa amehamia CDM baada ya kuenguliwa CCM
Kutokana na ulichoandika kwa mtu makini anafahamu yafuatayo:Kwanza naomba nikiri kuwa binafsi sikumchagua rais John Pombe Magufuli ingawa nilijua atashinda, sababu ni moja tu hakuwa mgombea bora.
Baada ya jina la Magufuli kupitishwa na mkutano mkuu wa CCM kuwa mgombea, wazo la kwanza lililonijia kichwani ni kuwa wajumbe wa CCM walijali maslahi ya chama zaidi kuliko nchi, kuwa walichoangalia wao ni chama kwanza kibaki salama lkn si kuteua mgombea bora ili aje kuwa kiongozi wa watanzania wote na sio kiongozi wa CCM.
Nikajiuliza, Usalama wa Taifa ulikuwa wapi kuzuia hili lisitokee, najua wasingeweza kupinga hadharani kutokana na maadili ya kazi lkn walikuwa na uwezo wa kuzuia kwa vile walijua fika udhaifu wa Magufuli.
Nilitaraji CCM watuletee watu kama Balozi Mahiga, Asha Migiro au Membe wazoefu wa diplomasia za kimataifa. Nilitegemea watuletee watu waadilifu wasio na doa kama kina Agustino Ramadhan, Mizengo Pinda, mama Samia au Shein, angalau basi wangetuletea jasusi la kimataifa kama Kitine kupambana na hujuma za majirani zetu kwenye soko huria la uchumi.
Hivi kweli CCM walishindwa vipi kuteua angalau mmoja bora kati ya hawa wagombea 38 waliojitokeza?
1. Bernard Membe
2. Balozi Mstaafu Agustine Mahiga,
3. Mizengo Pinda,
4. January Makamba,
5. Balozi Amina Said Alli,
6. Profesa Mark Mwandosya
7. Mama Samia Suluhu
8. Jaji Mstaafu Agustino Ramadhan,
9. Asha Rose Migiro.
10.Dk. Ali Mohamed Shein,
11.Dk. Hassy Kitine.
TUJISAHIHISHE, muda bado upo tusirudie makosa tena hapo 2020 tutajuta.
Mawazo huru kutoka kwa mwanaJF mzoefu Quinine.
Lowassa alienguliwa kwa figisu lkn angekuwa rais bora kuliko Magufuli.
Kwenye post yangu ya kwanza nimetaja sifa zao kwa kifupi, moja ya sifa ya rais angalau awe mwanadiplomasia.
Magufuli diplomasia ni zero.
Kikwete anajuta .Kwanza naomba nikiri kuwa binafsi sikumchagua rais John Pombe Magufuli ingawa nilijua atashinda, sababu ni moja tu hakuwa mgombea bora.
Baada ya jina la Magufuli kupitishwa na mkutano mkuu wa CCM kuwa mgombea, wazo la kwanza lililonijia kichwani ni kuwa wajumbe wa CCM walijali maslahi ya chama zaidi kuliko nchi, kuwa walichoangalia wao ni chama kwanza kibaki salama lkn si kuteua mgombea bora ili aje kuwa kiongozi wa watanzania wote na sio kiongozi wa CCM.
Nikajiuliza, Usalama wa Taifa ulikuwa wapi kuzuia hili lisitokee, najua wasingeweza kupinga hadharani kutokana na maadili ya kazi lkn walikuwa na uwezo wa kuzuia kwa vile walijua fika udhaifu wa Magufuli.
Nilitaraji CCM watuletee watu kama Balozi Mahiga, Asha Migiro au Membe wazoefu wa diplomasia za kimataifa. Nilitegemea watuletee watu waadilifu wasio na doa kama kina Agustino Ramadhan, Mizengo Pinda, mama Samia au Shein, angalau basi wangetuletea jasusi la kimataifa kama Kitine kupambana na hujuma za majirani zetu kwenye soko huria la uchumi.
Hivi kweli CCM walishindwa vipi kuteua angalau mmoja bora kati ya hawa wagombea 38 waliojitokeza?
1. Bernard Membe
2. Balozi Mstaafu Agustine Mahiga,
3. Mizengo Pinda,
4. January Makamba,
5. Balozi Amina Said Alli,
6. Profesa Mark Mwandosya
7. Mama Samia Suluhu
8. Jaji Mstaafu Agustino Ramadhan,
9. Asha Rose Migiro.
10.Dk. Ali Mohamed Shein,
11.Dk. Hassy Kitine.
TUJISAHIHISHE, muda bado upo tusirudie makosa tena hapo 2020 tutajuta.
Mawazo huru kutoka kwa mwanaJF mzoefu Quinine.
Huhitaji degree kumjua kiongozi mzuri vivyo hivyo kiongozi mbovu hujulikana kwa tabia na matendo yake, mengine ni blaa blaa tu.Kutokana na ulichoandika kwa mtu makini anafahamu yafuatayo:
1.Akili yako inadhani nchi hii ni dar es salaam tu
2.Hufahamu vigezo sahihi vinavyotumika na nchi nyingi kuchagua kiongozi anayefaa
3.Unadhani uongozi ni kufanya watu wafurahi
4.Hiyo ccm unayoiorodheshea majina hujui hata ilipokuwa imefikia
5.Unawakilisha watanzania wengi ambao zoezi la kupata viongozi huwa wanaliona km mchezo wa kitoto wakisubiri kuanza kulalamika baada ya kiongozi kupatikana
6.Hujui wajibu wako km raia
7.Taarifa unazopata kupitia media juu ya watu wanaotuongoza ni kidogo sana, lkn wewe unaziona kama ndio tegemeo lako kwenye kutoa maamuzi
8.Hata km wewe ni mpagani hujui kuwa uongozi ni namna vile anaonekana na sehemu tatu, yeye mwenyewe anavyojiona, watu wanavyomuona na vile Mwenyezi Mungu anavyomuona..mtizamo wa tatu ndio muhimu zaidi kwa vile hata kama yeye anaona anafaa na watu wanamuona anafaa, lkn Mungu akimuona hafai hawezi kuwa kiongozi..pigia mstari hili! halafu endelea kuandika hadithi yako kama utasikia kufarijika, lakn haikusaidii lolote.. asante!
Hao wote hapo angechaguliwa mmoja mgendelea kutuibia kama tawala zilizopita.Kwanza naomba nikiri kuwa binafsi sikumchagua rais John Pombe Magufuli ingawa nilijua atashinda, sababu ni moja tu hakuwa mgombea bora.
Baada ya jina la Magufuli kupitishwa na mkutano mkuu wa CCM kuwa mgombea, wazo la kwanza lililonijia kichwani ni kuwa wajumbe wa CCM walijali maslahi ya chama zaidi kuliko nchi, kuwa walichoangalia wao ni chama kwanza kibaki salama lkn si kuteua mgombea bora ili aje kuwa kiongozi wa watanzania wote na sio kiongozi wa CCM.
Nikajiuliza, Usalama wa Taifa ulikuwa wapi kuzuia hili lisitokee, najua wasingeweza kupinga hadharani kutokana na maadili ya kazi lkn walikuwa na uwezo wa kuzuia kwa vile walijua fika udhaifu wa Magufuli.
Nilitaraji CCM watuletee watu kama Balozi Mahiga, Asha Migiro au Membe wazoefu wa diplomasia za kimataifa. Nilitegemea watuletee watu waadilifu wasio na doa kama kina Agustino Ramadhan, Mizengo Pinda, mama Samia au Shein, angalau basi wangetuletea jasusi la kimataifa kama Kitine kupambana na hujuma za majirani zetu kwenye soko huria la uchumi.
Hivi kweli CCM walishindwa vipi kuteua angalau mmoja bora kati ya hawa wagombea 38 waliojitokeza?
1. Bernard Membe
2. Balozi Mstaafu Agustine Mahiga,
3. Mizengo Pinda,
4. January Makamba,
5. Balozi Amina Said Alli,
6. Profesa Mark Mwandosya
7. Mama Samia Suluhu
8. Jaji Mstaafu Agustino Ramadhan,
9. Asha Rose Migiro.
10.Dk. Ali Mohamed Shein,
11.Dk. Hassy Kitine.
TUJISAHIHISHE, muda bado upo tusirudie makosa tena hapo 2020 tutajuta.
Mawazo huru kutoka kwa mwanaJF mzoefu Quinine.
Aongeze na makondaTuombe uzima tu mkuu 2025 tunawaletea chaguo la mioyo yenu hapo juu,kwny hiyo idadi ongeza na Makame Mbarawa na mama Samia
Mbona Lowassa hujamuweka?.......au siyo bora!Kwanza naomba nikiri kuwa binafsi sikumchagua rais John Pombe Magufuli ingawa nilijua atashinda, sababu ni moja tu hakuwa mgombea bora.
Baada ya jina la Magufuli kupitishwa na mkutano mkuu wa CCM kuwa mgombea, wazo la kwanza lililonijia kichwani ni kuwa wajumbe wa CCM walijali maslahi ya chama zaidi kuliko nchi, kuwa walichoangalia wao ni chama kwanza kibaki salama lkn si kuteua mgombea bora ili aje kuwa kiongozi wa watanzania wote na sio kiongozi wa CCM.
Nikajiuliza, Usalama wa Taifa ulikuwa wapi kuzuia hili lisitokee, najua wasingeweza kupinga hadharani kutokana na maadili ya kazi lkn walikuwa na uwezo wa kuzuia kwa vile walijua fika udhaifu wa Magufuli.
Nilitaraji CCM watuletee watu kama Balozi Mahiga, Asha Migiro au Membe wazoefu wa diplomasia za kimataifa. Nilitegemea watuletee watu waadilifu wasio na doa kama kina Agustino Ramadhan, Mizengo Pinda, mama Samia au Shein, angalau basi wangetuletea jasusi la kimataifa kama Kitine kupambana na hujuma za majirani zetu kwenye soko huria la uchumi.
Hivi kweli CCM walishindwa vipi kuteua angalau mmoja bora kati ya hawa wagombea 38 waliojitokeza?
1. Bernard Membe
2. Balozi Mstaafu Agustine Mahiga,
3. Mizengo Pinda,
4. January Makamba,
5. Balozi Amina Said Alli,
6. Profesa Mark Mwandosya
7. Mama Samia Suluhu
8. Jaji Mstaafu Agustino Ramadhan,
9. Asha Rose Migiro.
10.Dk. Ali Mohamed Shein,
11.Dk. Hassy Kitine.
TUJISAHIHISHE, muda bado upo tusirudie makosa tena hapo 2020 tutajuta.
Mawazo huru kutoka kwa mwanaJF mzoefu Quinine.
Mbona aliyepo ndio ufisadi umeongezeka, katika awamu zote zilizopita ulishawahi kusikia ufisadi wa 1.5t kwa mwaka mmoja.Hao wote hapo angechaguliwa mmoja mgendelea kutuibia kama tawala zilizopita.
Angekuwa je rais bora kwa ghafla tuliambiwa kuwa hafai kuwa kiongozi...!!? Ina maana waliotuambia hivyo walikuwa ni wanafiki...!!?Nimesema Lowassa angekuwa rais bora kuliko Magufuli.
Lowassa siyo CCM.Mbona Lowassa hujamuweka?.......au siyo bora!
Tanzania haijawahi kuwa mgombea mwenye sifa ya kuwa kiongozi kwenye vyama vyote vya siasa....Kikwete anajuta .
Kwani kwenye huo mchakato Lowasa hakuwa CCM ..!!Lowassa siyo CCM.