KERO Kwanini Bodi ya Mikopo hairuhusu madeni yao kulipwa kupitia benki nyingine?

KERO Kwanini Bodi ya Mikopo hairuhusu madeni yao kulipwa kupitia benki nyingine?

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Kwa sisi watumishi wa umma tunaotumia mfumo wa ESS, katika kipengele cha mikopo na tulionufaika na mikopo ya elimu ya juu.

Bodi ya mikopo elimu ya juu HESLB wamekua na kero ya kutokuruhusu mtumishi kulipa mkopo wake kwa kutumia Bank nyingine (yaani kuuza mkopo wa HESLB bank nyingine).

Hivyo unapotaka kulipa mkopo huo, mfumo unakuambia huwezi kwa kuwa HESLB hawajaruhusu walipwe? Hivi kwa kuwa hizi fedha ni za serikal ndio maana hawataki walipwe ili wadogo zetu na watoto wetu wazitumie au hamna wataalam wa mifumo huko HESLB?
 
Back
Top Bottom