ALIYEPOST HII MADA KAWEKA PICHA. ANGALIA VIZURIkwa mwenye picha samahani,.mi sipati hata picha bodaboda kuninginizwa kiatu?
Je unafaham lengo Lao wanaoning'iniza kwenye nyaya za umeme????View attachment 420253 habarini,jamani mimi nimekua na maswali tofauti juu ya ni kwanini boda boda wengi hasa wa mtaani wanapenda kuendesha huku wameninginiza kiatu kama kinataka kuanguka ila bado sijapata jibu,hivi ni swags tu ama kuna kitu inawasaidia maana mmmhhh ni wengi sana wanaopenda kufanya hvyo...tupia maoni yako juu ya hili..
mi siwaelewagiii kabisaaaa
Ni sahihi kbsaa, hata boda boda ni hivo hivo, Nao eti "hawapendagi ujinga"mi naskiaga ni ishara ya kujulisha kwamba ni sehemu ya kuuza madawa
Mkuu ile kuna baabdi hua inakuwa labda amekiokota ni cha mtoto mdogo anaweka vile ili kumrahishia mwenyewe kukipata!!lakini humo humo kwenye hilo kundi kuna wanaaiga wenzao hawajui hata maana ya kuweka hivyo kama ukiwauliza!!ndo maana hata ukiendelea kufanya uchunguzi wako huwezi kukuta kaweka kiatu cha mtu mzima[emoji86] [emoji86] wengine ni swaga (hawa huweka midoli)View attachment 420253 habarini,jamani mimi nimekua na maswali tofauti juu ya ni kwanini boda boda wengi hasa wa mtaani wanapenda kuendesha huku wameninginiza kiatu kama kinataka kuanguka ila bado sijapata jibu,hivi ni swags tu ama kuna kitu inawasaidia maana mmmhhh ni wengi sana wanaopenda kufanya hvyo...tupia maoni yako juu ya hili..
Wengi hua wanaviokota njiani wanaweka pale ili kumsaidia alopoteza kukiona!!ndo maana adadi kubwa hivyo viatu hua ni vya watoto wachanga!!labda nikuulize uliwahi kuona kaweka cha mtu mzima??[emoji86] [emoji86]kwa mwenye picha samahani,.mi sipati hata picha bodaboda kuninginizwa kiatu?
ni viatu wanavyovyaa angalia picha alaf angalia mguu wa muendesha boda boda ndo utaelewa vizur tunachoongeleaMkuu ile kuna baabdi hua inakuwa labda amekiokota ni cha mtoto mdogo anaweka vile ili kumrahishia mwenyewe kukipata!!lakini humo humo kwenye hilo kundi kuna wanaaiga wenzao hawajui hata maana ya kuweka hivyo kama ukiwauliza!!ndo maana hata ukiendelea kufanya uchunguzi wako huwezi kukuta kaweka kiatu cha mtu mzima[emoji86] [emoji86] wengine ni swaga (hawa huweka midoli)
Vile vile sio boda boda tuu hata magari ya abiria kuna baadhi wanafunga pale nyuma!!ila asilimia kubwa hua kwenye magari huning'iniza mle ndani kwenye ile side mirow ya ndani juu ile dereva anayotumia kuangalia abiria ndani!![emoji86] !!
View attachment 420253 habarini,jamani mimi nimekua na maswali tofauti juu ya ni kwanini boda boda wengi hasa wa mtaani wanapenda kuendesha huku wameninginiza kiatu kama kinataka kuanguka ila bado sijapata jibu,hivi ni swags tu ama kuna kitu inawasaidia maana mmmhhh ni wengi sana wanaopenda kufanya hvyo...tupia maoni yako juu ya hili..