Kwanini bodaboda wengi wanapenda kuning'iniza viatu?

Kwanini bodaboda wengi wanapenda kuning'iniza viatu?

King Hash

Member
Joined
Sep 24, 2014
Posts
52
Reaction score
13
viatu bodaboda.JPG
d7571e6d-1936-41f5-a90d-dffee818f74a.jpg
habarini,jamani mimi nimekua na maswali tofauti juu ya ni kwanini boda boda wengi hasa wa mtaani wanapenda kuendesha huku wameninginiza kiatu kama kinataka kuanguka ila bado sijapata jibu,hivi ni swags tu ama kuna kitu inawasaidia maana mmmhhh ni wengi sana wanaopenda kufanya hvyo...tupia maoni yako juu ya hili..
 
Hata mi hii kitu huwaga inanishangaza sana
 
kwa mwenye picha samahani,.mi sipati hata picha bodaboda kuninginizwa kiatu?
kama mtaani kwenu kuna bodaboda ukiwaangalia miguuni wakati wanaendesha,ninaimani kati ya 5 ni lazima mmoja utamuona....but ngoja tufanye mpango wa picha
 
Actually inatumika kama urembo sidhani kama kuna dhana mbaya yeyote viva bodaboda
 
Ile brek na gia ukikanyaga na kiatu inaweza kuteleza ndiyo maana mtu anakua viatu kama ananing'iniza wayo ndiyo unakua umegusa chuma cha breki au gia.
 
Back
Top Bottom