[emoji2] [emoji2] [emoji2] kazi kweli kweliheheheehe labda ndo wameagizwa na kalumanzila..
yaani sijui wasaidiwaje...ujue bodaboda mtu akiichukulia kama kazi serious watu pia watamheshimu na kuiheshimu kazi yake piaMimi nadhani ni ulimbukeni uliopitiliza kwa maana the way pikipiki hizo zilivyoundwa inapaswa kutimika hivyo hivyo kwa maan sehemu ya kuwekea miguu imedizainiwa hivyo na watengenezaji ili kubalance stabiliti ya chombo husika ndio maana inapotokea kuyumba kidogo tu mtu anashindwa kucontol chombo n kusababisha ajali.
Ni kwakua ni wajinga. Bodaboda wengi akili zao ni ndogo na uwezo wao wa kufikiri ni mdogo mnno.habarini,jamani mimi nimekua na maswali tofauti juu ya ni kwanini boda boda wengi hasa wa mtaani wanapenda kuendesha huku wameninginiza kiatu kama kinataka kuanguka ila bado sijapata jibu,hivi ni swags tu ama kuna kitu inawasaidia maana mmmhhh ni wengi sana wanaopenda kufanya hvyo...tupia maoni yako juu ya hili..
Ni kwepi usiopingikka mkuu halafu tupia hapo na kale kautafiti kalikotoa jibu la 1 kati ya 4 then utaelewa 1 ni wengi kati yao ndo mana wanafanya ya Mirembe.[emoji3] [emoji3] [emoji3]ujue bodaboda mtu akiichukulia kama kazi serious watu pia watamheshimu na kuiheshimu kazi yake pia
habarini,jamani mimi nimekua na maswali tofauti juu ya ni kwanini boda boda wengi hasa wa mtaani wanapenda kuendesha huku wameninginiza kiatu kama kinataka kuanguka ila bado sijapata jibu,hivi ni swags tu ama kuna kitu inawasaidia maana mmmhhh ni wengi sana wanaopenda kufanya hvyo...tupia maoni yako juu ya hili..
Sante nasubiritutakuwekea mamaa usijali