Kwanini binadamu yeyote akikata roho (akifa) tu ni lazima atoe haja kubwa hata kama ni kiduchu?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
57,091
110,166
Nangoja kwa hamu sana kusoma maoni yenu ya kitaalamu enyi wajuvi wa JamiiForums, kwani nimedokezwa tendo la mwanadamu kujisaidia haja kubwa Wazaramo wanasema kuukweka) pale tu akikata roho ni la kisayansi zaidi. Hivyo nitafurahi nikielimishwa juu ya hili.
 
Fanya Experiment ya kumziba pua mbwa au paka Moja Kwa moja utaona akitoa haja.Jamaa Fulani alifumania wahuni wakamziba pua mpaka akajisaidia wakamuachia.Akazinduka baada ya nusu saa
 
Hii hoja ungeiweka kule siasa.

Najua umeelewa nilichokielewa.

Kuna mtu kajisaidia huko na kashajiua kisiasa🤣🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…