infinix
JF-Expert Member
- Sep 6, 2018
- 2,092
- 2,150
Kwa sababu ni wana wa ibilisiWanaolaaniwa ndiyo wenye mafanikio sijui kwa nini!!!
Kwa sababu ni wana wa ibilisiWanaolaaniwa ndiyo wenye mafanikio sijui kwa nini!!!
Phd za majalalani zinaweza kufanya lo lote; ushahidi wa mambo ya hovyo hovyo wanayofanya upo kila mahali.Ph.D Bashiru Ally haiwezi kufanya hayo....... Hizo ni mbinu za wala urojo wenyewe!
Waliosema ccm imekufa hawakukosea
View attachment 1279609
View attachment 1279610
Huu ndio mkakati pekee wa ccm uliobakia kabla ya kuleta vita .
Na haitachafuka bali utachafuka wewe!
Ukiambiwa Zwazwa unalalamika! Sasa hapo Zitto kakosea wapi wakati yeye AME quote maandishi ya Maalim Seif?Zitto anatapatapa
Anajua ubunge Ndio bai bai
CCM ni laana
Ukiambiwa Zwazwa unalalamika! Sasa hapo Zitto kakosea wapi wakati yeye AME quote maandishi ya Maalim Seif?
Jaribu kuwa unasoma na kutafakari kwanza, acha genye kudandia kila kitu usije ukadandia visivyo.
Kesha tanya sasa unakataa nini? Hata hela za EPA mlimsingizia Balali juu Mkapa kasema ukweliPh.D Bashiru Ally haiwezi kufanya hayo....... Hizo ni mbinu za wala urojo wenyewe!
Hainyoshwi bali inachomwa na Moto wa Jiwe. Soon itageuka Majivu!Tulia nchi inyooshwe na pasi ya moto
Usikute were ni kiongozi mkubwa huko ccm, ndiko tulikofikia sasa kwenye chama hicho! Tufanye maombi sanaYaani Zito ndio ameshika akili za wapinzani, na yote haya ni kwa sababu hakuna tena anayempa maburungutu kama wakati wa JK. Imekula kwenu, then nimesikia ati Mbowe na TL wanasema hawakaribishwi Ikulu kunywa chai na JPM. Yaani wakaribishwe kwa kisa gani? Kwani wengine wanaokaribishwa hawastahili? Who the hell do they think they are?
Huku Kigoma hawezi tena kupita. Kwahiyo anaanza kutengeneza mazingira ya kuonewa huruma. 2020 atabaki mbunge wa jimbo la twita[emoji12]Zitto anatapatapa
Anajua ubunge Ndio bai bai
Mkuu vita kati ya nani na nani.? Na wakipigania nini sasa??View attachment 1279609
View attachment 1279610
Huu ndio mkakati pekee wa ccm uliobakia kabla ya kuleta vita .
Huku Kigoma hawezi tena kupita. Kwahiyo anaanza kutengeneza mazingira ya kuonewa huruma. 2020 atabaki mbunge wa jimbo la twita[emoji12]
Usikute were ni kiongozi mkubwa huko ccm, ndiko tulikofikia sasa kwenye chama hicho! Tufanye maombi sana
Vita ya Tanzania itaanzia Zanzibar na kisha itaenea mikoa ya Tanganyika,na huo ndio utakuwa mwisho wa amani ya Tanzania.
Wazanzibar wanauwezo wa kifanya lolote kwaajili ya nchi yao,Bashiru usitiharobie nchi,stop
Ikitokea hivyo ,utafanyaje..katiyako wewe na zito nani anaweza kupata taarifa zakweli kuhusu hayoZitto Naona Tena umeanza kuwashika makalio vijana wako wa post zako za Twitter..
Na unawajua Pakuwashika kweli!.
Ila wenye akili hatuwezi Amini Mrejesho wa kikao chochote bila kuona Maandishi yaliyoambatana na Mihuri husika.
Endelea kuwashika tu hao vijana wa ufipa Maana Vichwa vyao Ni vyeupe Mithili ya debe tupu ndo maana kupiga kelele kwao hata Kama Ni ujinga nikawaida.