Kwanini Bashiru Ally anaficha kilichompeleka Zanzibar ?

Mr Tyang,
Bado nakiri kuwa una akili za Nyumbu, nilidhan ungejirekebisha lakin bado umerejea kosa lile lile.
Sidhan kama ni uungwana kutukana
 
Ukijaribu kuuliza wasifu wa Mbowe, hasa ashule aliyosomea kidato cha nne na matokeo yake kabla hajaenda kujiunga kidato cha Tano, Jamii Forum aidha wanauondoa uzi au wanakupa ban? Kuna nini Jamii Forum mnazuia taarifa za watu kufahamu historia ya shule ya Chairman Mbowe?
 
Nilipoleta hii mada hamkunielewa,ila na huku Bara yakitokea msishangae:

Ukijaribu kuuliza wasifu wa Mbowe, hasa ashule aliyosomea kidato cha nne na matokeo yake kabla hajaenda kujiunga kidato cha Tano, Jamii Forum aidha wanauondoa uzi au wanakupa ban? Kuna nini Jamii Forum mnazuia taarifa za watu kufahamu historia ya shule ya Chairman Mbowe?
Mbona hutaki kufahamu historia ya shule aliyomaliza darasa la nne, kama alifika, Mwenyekiti wa chama chetu? Angekuwa alifika kidato cha nne kama Mh. Mbowe, uwezo wake hata wa machache tungeshughudia.
 
Mbona hutaki kufahamu historia ya shule aliyomaliza darasa la nne, kama alifika, Mwenyekiti wa chama chetu? Angekuwa alifika kidato cha nne uwezo wake wa mengi tungeshughudia.

Demokrasia! Wewe kama untaka kufahamu hilo sawa, mimi jina la shule ya kidato cha nne tu basi.
 
Ukijaribu kuuliza wasifu wa Mbowe, hasa ashule aliyosomea kidato cha nne na matokeo yake kabla hajaenda kujiunga kidato cha Tano, Jamii Forum aidha wanauondoa uzi au wanakupa ban? Kuna nini Jamii Forum mnazuia taarifa za watu kufahamu historia ya shule ya Chairman Mbowe?
CV ya Mbowe imo humu humu jf , sasa ukitaka kuleta ujinga mwingine ndio maana unachinjiwa baharini , kwa vile unaonekana mjinga
 
Sawa kabisa mwerevu, lakini uliwezaje kuandika yote haya ukashindwa kuandika tu jina la shule ule udhihirishe ujinga wangu kwa uhakika? Andika basi sasa hivi, jina la shule tu, basi.
 
PhD yake imegeuka kuwa kama za wale wanafiki wa ccm ila huyu kwa spidi anayoenda nayo atawazidi.
 
Back
Top Bottom