Mr Tyang
JF-Expert Member
- Sep 30, 2018
- 1,728
- 6,806
Mkuu inaonekana tayari zitto ashakushika kunako sehemu husika siyo?.Aaah NYUMBU mpo wengi kweli.
Nilidhan ungejibu hoja
Siwezi kujibu kwa hoja kitu Ambacho nidhahania.
Kama Ni kweli anachokiongea zitto angeleta na Maandishi ya mhutasali wa hicho kikao kikiwa na Saini zake zote. Hakuna mkutano wowote unaoweza kifanyika pasipo kuwa na mrejesho wa Maandishi. Thus why Nimeona hamna haja ya kutumia hoja sehemu pasipo na hoja za Msingi.