Kwanini Bashiru Ally anaficha kilichompeleka Zanzibar ?

Erythrocyte,
Bashiru amekwenda Pemba kulazimisha ushindi kwa CCM mwaka 2020. Katoa kauli za kuwatisha watendaji endapo watakubali kuwaachia wapinzani wapite visiwani!

Tunataka tumhakikishie Bashiru kwamba Pemba si Bara. Walipemba wanajitambua muda mrefu na wanajua wanachokifanya.
 
Kama mtendaji mkuu hilo ndiyo moja ya jukumu lake [na hii ni kwa chama chochote cha siasa]
Wala sijapinga bali najiuliza kama ndivyo kwanini alivyoenda Zanzibar alitamka la kuimarisha chama na anapoenda Misungwi hayo hayatamki ?
 
Amekuwa akisema hivyo na ndiyo maana anapoona madudu huyasema na kutoa maelekezo pale inapobidi. Hii ni kwa makatibu wakuu wote hata maalim seif alikuwa anafanya hivyo.
 
Bashiru amekwenda Pemba kulazimisha ushindi kwa CCM mwaka 2020. Katoa kauli za kuwatisha watendaji endapo watakubali kuwaachia wapinzani wapite visiwani!
Tunataka tumhakikishie Bashiru kwamba Pemba si Bara. Walipemba wanajitambua muda mrefu na wanajua wanachokifanya.
Abunwasi
 
Back
Top Bottom