Kwanini Bashiru Ally anaficha kilichompeleka Zanzibar ?

Zitto Naona Tena umeanza kuwashika makalio vijana wako wa post zako za Twitter..
Na unawajua Pakuwashika kweli!.

Ila wenye akili hatuwezi Amini Mrejesho wa kikao chochote bila kuona Maandishi yaliyoambatana na Mihuri husika.

Endelea kuwashika tu hao vijana wa ufipa Maana Vichwa vyao Ni vyeupe Mithili ya debe tupu ndo maana kupiga kelele kwao hata Kama Ni ujinga nikawaida.
 
Hahah

Nauliza tu Dr Bashir aruhusiwi kufanya ziara visiwani?
 
Haya ni maneno ya mtu aliyeshindwa
Kuliko kuwa mbunge kwenye bunge la makondoo ni bora kuuza barafu za ukwaju za Azam. Watu wenye dhiki ndio wanaweza kufurahia hilo bunge linaloburuzwa na jiwe.
 
Zitto Naona Tena umeanza kuwashika makalio vijana wako wa post zako za Twitter..
Na unawajua Pakuwashika kweli!.

Ila wenye akili hatuwezi Amini Mrejesho wa kikao chochote bila kuona Maandishi yaliyoambatana na Mihuri husika.

Endelea kuwashika tu hao vijana wa ufipa Maana Vichwa vyao Ni vyeupe Mithili ya debe tupu ndo maana kupiga kelele kwao hata Kama Ni ujinga nikawaida.

WE NDIO UEMESHIKWA NDIO MAANA UNAPIGA KELELE.HUJUAGI WAKIKE WAKISHIKWAGA MAENEO KAMA HAYO WANAPIGAGA KELELE ZA NANI.......WE UNAITWA MARIAMU AU AISHA?
 
Back
Top Bottom