Nkerebhuke
JF-Expert Member
- Nov 1, 2021
- 796
- 2,028
Sidhani kama unawatendea haki "Wasomi"Inasikitisha sana maana hii laana imewashukia hata wasomi wenyewe kuweza kujidhalau na kushindwa kujiamini, kutetea mawazo, kupigania taaluma za kulinda hadhi na heshima ya utu wao.
Kwanini imekuwa hivyo Namba moja ajaye? Kwa nini Elimu inayopatikana haitatui changamoto za maisha binafsi?Leo hii HATA ukitumia gharama kubwa kusomeshavhaimsaidii kijana kutatua changamoto za maisha binafsi!!!
Am just curious nani anajukumu na future ya elimu yetu, wewe unasema elimu yetu ni mbovu bila kubainisha eneo hata moja ambalo linapaswa kurekebiswa unataka nani afanye hivyo. Kuna vitu vya kudadisi je mazingira ya fit kwa vijana wasomi kuweza kutumia vipaji vyao( environment fit ) hakuna monopoly? Tuongeze au tupunguze nini kwenye mitaala yetu, jamii ya Tanzania inapenda kujifunzaMkuu
Elimu yetu ni mbovu na mfumo wake haufai!
Elimu ya sasa haina majibu ya changamoto zilizopo!
Ndio . maana wasomi wamekimbilia kwenye siasa ili wapate fedha nyingi!
Elimu ya kikoloni imekosa majibu na hadhi yake!!
Leo hii HATA ukitumia gharama kubwa kusomeshavhaimsaidii kijana kutatua changamoto za maisha binafsi!!!
Elewa HIVYO!!
Imepitwa na wakati!Kwanini imekuwa hivyo Namba moja ajaye? Kwa nini Elimu inayopatikana haitatui changamoto za maisha binafsi?
Mwl unawaza kutengeza pesa tu😄 kuwa na Elimu yyte Ile kibinadamu ni zaidi ya pesaImepitwa na wakati!
Nyakati zetu hazihitaji elimu za kukariri principle bali elimu tendaji ile ya field inayozaa kitu cha kuonekana na kutengeneza pesa halisi!!
Elimu hii iliopo ni ya kurithi toka kwa mkoloni yaani kuandaa watumishi wa serikali sasa watumishi wametosha na kuzidi inapaswa ibadilike ghafla na kuwa ya kujitegemea na ubunifu ukitumia nature kutatua changamoto!
Juzi nimeenda seminar ya sayansi ya walimu wa secondary nikaona ujinga uleule unapakwa rangi tu!hakuna cha maana ambacho kitaleta fedha baada ya mtoto kuhitimu yaani tunaandaliwa kufundisha jinsi vijana wajibu maswali ya competence based yaani kujiandaa kwa mitihani badala ya maisha halisi!huo ni ujinga hatari sana!
Niliwaambia haya ni mapokeo hayana majibu kwa vijana kuhusu kujiajiri na kujitegemea wakabaki wananishaangaaa tu eti naenda kinyume na wakufunzi!
Elimu ya sasa ujinga mtupu!
Hua HIVYO!!
Na mimi naongezea hapo mamlaka zetu ziangulie hali ya soko inchini ili kuangalia kama kuna monopolistic elements kuwapa fursa vijana wanapobuni bidhaa zao waweze kushindana vizuri.Elimu inaongeza life expectancy isipuuzwe..na mara zote wanaoipuuza ni wale walioikosa, chamsingi serikali ionyeshe kuwa education is matter kwa kufanya yafuatayo...
1. Ili mtu kugombea ubunge awe na Shahada ya Pili.
2. Cheo chochote kuanzia ngazi ya kata iwe ni kuanzia Elimu ya masters degree.
3 waitambue Shahada ya Pili kwenye mishahara ya watumishi.
4. Nk
Hizo kelele za kuidharau Elimu zitapotea automatically, mf. huwezi ukawa unapinga ukatili wa kijinzia huku unaidharau Elimu hyo haileti mantik
Elimu ninini? Acheni kuaminisha watu kwamba kukalili theories za watu wengine na kuzilazimisha zikae kichwani mwako ndio elimu sahihi!Elimu inaongeza life expectancy isipuuzwe..na mara zote wanaoipuuza ni wale walioikosa, chamsingi serikali ionyeshe kuwa education is matter kwa kufanya yafuatayo...
1. Ili mtu kugombea ubunge awe na Shahada ya Pili.
2. Cheo chochote kuanzia ngazi ya kata iwe ni kuanzia Elimu ya masters degree.
3 waitambue Shahada ya Pili kwenye mishahara ya watumishi.
4. Nk
Hizo kelele za kuidharau Elimu zitapotea automatically, mf. huwezi ukawa unapinga ukatili wa kijinzia huku unaidharau Elimu hyo haileti mantik
Unachojua ww shuleni wanajifunza content tu🚮Elimu ninini? Acheni kuaminisha watu kwamba kukalili theories za watu wengine na kuzilazimisha zikae kichwani mwako ndio elimu sahihi!
Tambua dhana ya elimu ni pana sana tofauti kabisa na sisi hasa waafrica tunavyo ipokea na kuiamini .
Hiyo Elimu isiyo rasimi ndo hyo ambayo imejaa unyanyasaji wa kijinzia, mtoto wa kiume ndo asome mtoto wa kike awe mke wa nyumban,Mkuu,elimu yetu rasmi ni mbovu kuliko ile elimu isiyo rasmi ya kupatikana mtaani
Ngoja Niwaite HawaMkuu weka tafsiri yako ya Elimu basi.
Education is the foundation in which our country is built on. Kwenye elimu kuna vitu vingi vya kuangalia badala ya kuidharau na kuibagaza, wengi tumeweka over emphasize on materialism lakini elimu ni zaidi yaho, Kuna value development, covering culture and the likes. Tusiwape nafasi wasiojua umuhimu wa elimu ni nini ila tujenge hoja za kisayansi kuonesha ni wapi elimu yetu unapaswa kuelekeaImepitwa na wakati!
Nyakati zetu hazihitaji elimu za kukariri principle bali elimu tendaji ile ya field inayozaa kitu cha kuonekana na kutengeneza pesa halisi!!
Elimu hii iliopo ni ya kurithi toka kwa mkoloni yaani kuandaa watumishi wa serikali sasa watumishi wametosha na kuzidi inapaswa ibadilike ghafla na kuwa ya kujitegemea na ubunifu ukitumia nature kutatua changamoto!
Juzi nimeenda seminar ya sayansi ya walimu wa secondary nikaona ujinga uleule unapakwa rangi tu!hakuna cha maana ambacho kitaleta fedha baada ya mtoto kuhitimu yaani tunaandaliwa kufundisha jinsi vijana wajibu maswali ya competence based yaani kujiandaa kwa mitihani badala ya maisha halisi!huo ni ujinga hatari sana!
Niliwaambia haya ni mapokeo hayana majibu kwa vijana kuhusu kujiajiri na kujitegemea wakabaki wananishaangaaa tu eti naenda kinyume na wakufunzi!
Elimu ya sasa ujinga mtupu!
Hua HIVYO!!
Watu Wana masters hawawezi kumudu kulipa Kodi ya chumba cha 50,000 wanakaa kwa wazazi wao.Unachojua ww shuleni wanajifunza content tu🚮
Hizo theory zenyewe unajizua kuwa huwa zinahusiana na nn katika maisha ya binadam? Kama huzijui lazima utazidharau tu kwasabu unauelewa mdogo wa Mambo. Hebu
fanya jaribio la kutowapeleka wanao shule kiazi we!
Huelewi informal education weweHiyo Elimu isiyo rasimi ndo hyo ambayo imejaa unyanyasaji wa kijinzia, mtoto wa kiume ndo asome mtoto wa kike awe mke wa nyumban,
Elimu ni dawa ya maisha ya binadam mf., tabia za mtoto aliyefika darasa la Saba ukilinganisha na tabia za mtoto aliyefika kidato cha nne ni tofauti kabisa, unaona kabisa huyu mtoto aliyefika kidato cha nne anakitu kichwani