Kwanini baadhi ya Wanawake hawavai Chupi?

Kwani faida ya kuvaa chupi kwa mwanamke ni nini,? wanaaume ndio wanatakiwa kuvaa chupi hapo kuna faida nyingi, 1.kumfanya mzee asiyumbeyumbe kiasi cha kutish na 2, kuzuia hasira zake pale anapo kutana na jinsia tofauti
 
Mmmmhh!!! Huyu jamaa noma umehesabu wangapi ukaja na hiyoo mada maana wangu anapenda kuvaa chupi kuliko tyt
 
Wana Forum;

Mniwie radhi kwani si kawaida yangu kutembelea jukwaa hili la wapwa na mabinamu lakini leo imenilazimu . . . .

Ashakum si matusi . . . Nikiwa ofisini katika kazi zangu za kawaida kuna dada moja ambaye hupendelea sana kuvaa suruali na zinamkaa vilivyo. Hata hivyo majuzi alivaa sketi ambayo pia ilimkaa vema. Bahati mbaya wakati naingia ofisini na bila kudhamiria nilimwona amekaa mkao ambao "mambo yote yalikuwa hadharani". Naam, kwa hakika hakuwa amevaa chupi. Nilikausha na kujifanya kama vile sijamwona na yeye nadhani alijishtukia hivyo akakaa vema.

Jambo hili lilinifanya nijiulize maswali mengi na hasa ni kwa nini hakuvaa chupi lakini sikupata jibu na hivyo kuamua kulileta hapa jamvini:

Je, kuna baadhi ya Wanawake hawavai chupi? Na kama ni hivyo, ni kwa nini?

Wewe umejuaje kama hawavai?
 
Juzi nikiwa kazini baada ya muda wa kazi kuisha tuliingia canteen ya palepale kazin
Kwa bahati nikawa mwanaume pekee pale ndani hivyo nikachukua chakula na kutoka nje
Nje nilizunguka bila wanawake wale tunaofanya nao kazi waliokuwa wakila pale ndani kujua na kukaa ukuta uliokuwa eneo ambalo ilikuwa rahisi kusikia maongezi yao

"Mmmmh! Mwenzenu hii chupi inanipa michirizi" akasema mmoja.

"Heee! Umevaa chupi sahizi?" Akauliza mwenzake

Ikumbukwe kuwa hiyo ni saa tisa baada ya kazi.

"Ndiyo kwani we huvai?"akauliza yule mdada.

"Mwenzangu me nikishatoka kazin sivai chupi iwe mtaani au popote!" Akajibu

"Hata mimi sivaagi!"

"Hata mimi kujibana kwanini?"

Yaani karibia wale wote waliokuwa pale walidakia kuwa hawavai chupi!

Mwenzao akabaki kushangaa!

Mimi ndo nilish angaa zaidi!

Hebu wanawake mliopo humu mnipe ukweli! Eti hamvai chupi?
 
YA NINI KWANI NI LAZIMA KUVAA MKUU LOLZ LABDA UWE MWEZINI NDO LAZIMA VINGIINEVYO HAKUNA DHAMBI YOYOTE KUVAA AMA KUTOKUVAA MKUU MI WEEKEND HUWA SIVAAGI KABISAAA
 
kama hawajawahi kuonesha tupu zao basi sawa, ila wasipovaa na kuweka nyuchi zao hadharni ndio mbaya.
 
Juzi nikiwa kazini baada ya muda wa kazi kuisha tuliingia canteen ya palepale kazin
Kwa bahati nikawa mwanaume pekee pale ndani hivyo nikachukua chakula na kutoka nje
Nje nilizunguka bila wanawake wale tunaofanya nao kazi waliokuwa wakila pale ndani kujua na kukaa ukuta uliokuwa eneo ambalo ilikuwa rahisi kusikia maongezi yao

"Mmmmh! Mwenzenu hii chupi inanipa michirizi" akasema mmoja.

"Heee! Umevaa chupi sahizi?" Akauliza mwenzake

Ikumbukwe kuwa hiyo ni saa tisa baada ya kazi.

"Ndiyo kwani we huvai?"akauliza yule mdada.

"Mwenzangu me nikishatoka kazin sivai chupi iwe mtaani au popote!" Akajibu

"Hata mimi sivaagi!"

"Hata mimi kujibana kwanini?"

Yaani karibia wale wote waliokuwa pale walidakia kuwa hawavai chupi!

Mwenzao akabaki kushangaa!

Mimi ndo nilish angaa zaidi!

Hebu wanawake mliopo humu mnipe ukweli! Eti hamvai chupi?
Detective Columbo...
 
Kwa taarifa yako mleta mada hao wadada uliowasikia wakiongea ndio hao wapo humu kwahiyo usitegemee kusikia kitu tofauti
 
Haa haaa unanikumbusha Mgombea moja miaka ya nyuma wakati wa mkutano wa hadhara alitoa handkerchief ajifute jasho, kumbe ametoa chupi ya nyumba ndogo aliyo confuse kuweka mfukoni akidhani ni leso au kwa sababu nyingine.
Duh
 
7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom