Kwanini baadhi ya Wanawake hawavai Chupi?

Superman

JF-Expert Member
Mar 31, 2007
5,695
1,696
Wana Forum;

Mniwie radhi kwani si kawaida yangu kutembelea jukwaa hili la wapwa na mabinamu lakini leo imenilazimu . . . .

Ashakum si matusi . . . Nikiwa ofisini katika kazi zangu za kawaida kuna dada moja ambaye hupendelea sana kuvaa suruali na zinamkaa vilivyo. Hata hivyo majuzi alivaa sketi ambayo pia ilimkaa vema. Bahati mbaya wakati naingia ofisini na bila kudhamiria nilimwona amekaa mkao ambao "mambo yote yalikuwa hadharani". Naam, kwa hakika hakuwa amevaa chupi. Nilikausha na kujifanya kama vile sijamwona na yeye nadhani alijishtukia hivyo akakaa vema.

Jambo hili lilinifanya nijiulize maswali mengi na hasa ni kwa nini hakuvaa chupi lakini sikupata jibu na hivyo kuamua kulileta hapa jamvini:

Je, kuna baadhi ya Wanawake hawavai chupi? Na kama ni hivyo, ni kwa nini?
 
muhuni huyo,
inarahisisha kupata 'quickie',,,na bosi wake, au wakati wa lunch.....:redfaces:
 
Hapa naanza kuwa na mashaka kama ni kulahisisha kazi na maboss! Okay lakini inategemeana upo wapi kwa joto la Dar usikute wanakwepa Joto kali hivyo kuiacha wazi kwaajili nayo ipate hewa


what you are saying is true....
 
muhuni huyo,
inarahisisha kupata 'quickie',,,na bosi wake, au wakati wa lunch.....:redfaces:

Inawezekana ikawa hivyo? Sijamhisi huyu mdada hata siku moja kama ana tabia hizo. Ni dada ambaye kikazi yuko makini wala hana mwekeo kama ana tabia za kihuni
 
Inawezekana ikawa hivyo? Sijamhisi huyu mdada hata siku moja kama ana tabia hizo. Ni dada ambaye kikazi yuko makini wala hana mwekeo kama ana tabia za kihuni

nadhani ni joto la Dar ndio itakuwa sababu...
kiafya nadhani tunatakiwa kupitisha hewa huko...
kuavoid growth of bacteria...
either uvae chupi nyepesi,ama usivae kabisaa..kny sehemu za joto!
 
mmmhhh kwakweli..
unajua saa nyingine tunavaa guo zilizo tight sana ..
na hatutaki miraba ya chupi ionekane....
kwa hiyo tunavaa skin tight au G-strings....
hiyo yakutokuvaa chupi kabisa mchana na unaenda kazini duuuhhh hii ni mpya sijawahi sikia....


Hili la G-String sina tatizo nalo hata mimi. napenda tu kusikia shuhuda kama je kuna baadhi kweli hawavai kabisa na kwa nini?
 
Dah! Sidhani kama kuna mwanamke ambaye anaweza kwenda kazini pasipo kuvaa chupi/skin tight n'k maana mwanamke daima kutokana na maumbile yao uwa kuna maji maji ambayo uwa yanatoka ukeni, kitendo hicho uminyima mwanamke uhuru na hivyo ulazimika kuvaa chupi au kuweka kitu ambacho kitafyonza unyevu nyevu wowote utakao toka ukeni. Hivyo hasipo vaa chupi na kuvaa skirt tu kuna uwezekano akajichafua.
 
7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom