Kwanini baadhi ya Wanawake hawavai Chupi?

nadhani ni joto la Dar ndio itakuwa sababu...
kiafya nadhani tunatakiwa kupitisha hewa huko...
kuavoid growth of bacteria...
either uvae chupi nyepesi,ama usivae kabisaa..kny sehemu za joto!

Nakusoma binti. So, it is true kuna baadhi hawavai?
 
Dah! Sidhani kama kuna mwanamke ambaye anaweza kwenda kazini pasipo kuvaa chupi/skin tight n'k maana mwanamke daima kutokana na maumbile yao uwa kuna maji maji ambayo uwa yanatoka ukeni, kitendo hicho uminyima mwanamke uhuru na hivyo ulazimika kuvaa chupi au kuweka kitu ambacho kitafyonza unyevu nyevu wowote utakao toka ukeni. Hivyo hasipo vaa chupi na kuvaa skirt tu kuna uwezekano akajichafua.

Sasa kwa kesi hii unahisi kwa nini hakuvaa walau hata G-String?
 
Hili la G-String sina tatizo nalo hata mimi. napenda tu kusikia shuhuda kama je kuna baadhi kweli hawavai kabisa na kwa nini?

sababu ambazo ninaweza fikiria ni
1. she feel comfatable without them
2. she feels more free.. & sexy....
3.Draws attention (guys attention0
4. medical reasons i heard is better for your vaginal health helps to prevent yeast infections .....
 
Sasa naanza kuelewa. i wish ningekuwa na guts ningemuuliza.
 
Haa haaa unanikumbusha Mgombea moja miaka ya nyuma wakati wa mkutano wa hadhara alitoa handkerchief ajifute jasho, kumbe ametoa chupi ya nyumba ndogo aliyo confuse kuweka mfukoni akidhani ni leso au kwa sababu nyingine.

Duh, huyo kweli babkubwa!!!
 
Haa haaa unanikumbusha Mgombea moja miaka ya nyuma wakati wa mkutano wa hadhara alitoa handkerchief ajifute jasho, kumbe ametoa chupi ya nyumba ndogo aliyo confuse kuweka mfukoni akidhani ni leso au kwa sababu nyingine.

teh teh teh teh teh!
 
Mazeeee . . . . Najuuuutaaaaa kujileta huku. Mbona nitakoma?

Sililiza ZMP, shemeji yenu huwa anatembelea huku, msije mkaniletea balaa

Heeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Kiongozi, pole sana.
Kama vipi njoo uni PM, niko kyuriaz na hiyo kitu kidogo... hahahahaha just kidding!
 
Hhaha hahha superman nasikia aliponyanyua ulikimbilia kukinusa na kukalia hicho kiti lol. Na nyie wanaume macho yenu khaaaaaaaaaa:eek::eek::eek:
 
Mazeeee . . . . Najuuuutaaaaa kujileta huku. Mbona nitakoma?

Sililiza ZMP, shemeji yenu huwa anatembelea huku, msije mkaniletea balaa

hahaha pole,,,ila nahisi huyo dada yuko mawindoni,kuna mtu anamtega hapo ofisini kwenu..nachelea kusema ni wewe...mungu akuongoze ushinde majaribu...lol

nadhani ni joto la Dar ndio itakuwa sababu...
kiafya nadhani tunatakiwa kupitisha hewa huko...
kuavoid growth of bacteria...
either uvae chupi nyepesi,ama usivae kabisaa..kny sehemu za joto!

...True dat!

...Jamii nyingine zilikuwa hazivai chochote, labda ni kuendeleza tamaduni.

...By the way, leo weekend!
 
7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom