Kwanini baadhi ya Wanawake hawavai Chupi?

hahaha pole,,,ila nahisi huyo dada yuko mawindoni,kuna mtu anamtega hapo ofisini kwenu..nachelea kusema ni wewe...mungu akuongoze ushinde majaribu...lol

mmmmhhh mwaya hata mi nampa pole sana kama anawindwa kiasi hicho...
 
Hhaha hahha superman nasikia aliponyanyua ulikimbilia kukinusa na kukalia hicho kiti lol. Na nyie wanaume macho yenu khaaaaaaaaaa:eek::eek::eek:

Jamani MR, mimi wala sikudhamiria kuiona ndo kwanza nilikuwa naingia ofisini.

Kama vipi vipi, basi mimi namwomba Mods aifunge hii thread! Khaaaa! Nikanuse kiti! Over my dead body!
 
hahaha pole,,,ila nahisi huyo dada yuko mawindoni,kuna mtu anamtega hapo ofisini kwenu..nachelea kusema ni wewe...mungu akuongoze ushinde majaribu...lol

Sina uhakika, maana wala sijawahi kumfikiria . . . Ni kazi kazi tu.
 
Sasa kwa kesi hii unahisi kwa nini hakuvaa walau hata G-String?

kuna utata hapo kidogo, uenda kuna sababu nyingi ambazo anazijua yeye ambazo zilifanya asivae kufuli... Au alitoka kuchakachuliwa sehemu akakurupuka pasipo kuvaa hiyo ki2,
 
mmmmhhh mwaya hata mi nampa pole sana kama anawindwa kiasi hicho...

mmmh acha tu,labda ameshatumia njia zote kumuwinda...dada wa watu kawa desperate,kaona ku'flash' mambo ndio solusheni....:teeth::teeth::teeth:
 
Jamani MR, mimi wala sikudhamiria kuiona ndo kwanza nilikuwa naingia ofisini.

Kama vipi vipi, basi mimi namwomba Mods aifunge hii thread! Khaaaa! Nikanuse kiti! Over my dead body!

Pole mwaya just tell us pink or red
 
mmmh acha tu,labda ameshatumia njia zote kumuwinda...dada wa watu kawa desperate,kaona ku'flash' mambo ndio solusheni....:teeth::teeth::teeth:

hahahahahah lol
hafu usikute shoga zake ndo walimdanganya hivyo....
mmhhh kuna raha duniani....
 
Sina uhakika, maana wala sijawahi kumfikiria . . . Ni kazi kazi tu.

mmmhh ok we hujawahi kumfikiria..
lakini labda ye ndo anakufikiria.....
we wajua ni kazi kazi tu
ye ajua ni kazi,kazi,kazi,kazi,kazi..............
 
Kama hujawahi kumfikiria ndio maana anatumia bomu la nyuklia ili sasa umfikiria. Unaona sasa kafanikiwa. Mpaka saa hizi hujalala unamjadili yeye. Duh, huyo "demu" kweli jiniaz.
 
7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom