johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,035
- 142,148
Nilishangaa kuona baadhi ya vijiji mkoani Kigoma na hasa kule wanakotoka mawaziri Prof Ndalichako na Dr Mpango wananchi wanakunywa maji ya tope.
Sasa leo nusura nizimie baada ya kuwaona runingani wabunge wawili Asenga wa Kilombero na Babu Tale wa Morogoro kusini wakielezea shida ya maji majimboni mwao.
Yaani hapa Morogoro napo watu wanafulia tope?
Maendeleo hayana vyama!
kichaa huyo.Aisee unaamini binadamu naweza kuishi bila maji ?
Wamewezaje kuwa hapo miaka yote bila maji
Unajua utofauti wa kuishi bila maji au upungufu wa maji
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Kupikia maji ya tope ni sawa na kuishi bila maji.Aisee unaamini binadamu naweza kuishi bila maji ?
Wamewezaje kuwa hapo miaka yote bila maji
Unajua utofauti wa kuishi bila maji au upungufu wa maji
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Hata wewe ni kichaa katika maeneo fulani!kichaa huyo.
Mitano tena bwashe! Maji safi na salama ni mradi endelevu. Tupeni mitano tena ttumalize hili tatizo mazima.Nilishangaa kuona baadhi ya vijiji mkoani Kigoma na hasa kule wanakotoka mawaziri Prof Ndalichako na Dr Mpango wananchi wanakunywa maji ya tope.
Sasa leo nusura nizimie baada ya kuwaona runingani wabunge wawili Asenga wa Kilombero na Babu Tale wa Morogoro kusini wakielezea shida ya maji majimboni mwao.
Yaani hapa Morogoro napo watu wanafulia tope?
Maendeleo hayana vyama!
Nilishangaa kuona baadhi ya vijiji mkoani Kigoma na hasa kule wanakotoka mawaziri Prof Ndalichako na Dr Mpango wananchi wanakunywa maji ya tope.
Sasa leo nusura nizimie baada ya kuwaona runingani wabunge wawili Asenga wa Kilombero na Babu Tale wa Morogoro kusini wakielezea shida ya maji majimboni mwao.
Yaani hapa Morogoro napo watu wanafulia tope?
Maendeleo hayana vyama!
Tulikwamishwa sana na wapinzani. Sasa watapata maji Bwashee. Ngoja tumalize kufukuza waliopunguza kura kwanza.Nilishangaa kuona baadhi ya vijiji mkoani Kigoma na hasa kule wanakotoka mawaziri Prof Ndalichako na Dr Mpango wananchi wanakunywa maji ya tope.
Sasa leo nusura nizimie baada ya kuwaona runingani wabunge wawili Asenga wa Kilombero na Babu Tale wa Morogoro kusini wakielezea shida ya maji majimboni mwao.
Yaani hapa Morogoro napo watu wanafulia tope?
Maendeleo hayana vyama!
Nakwasababu ya mapambio kuwa menngi karibuni hatahilo tope lakufulia litakosekana.Nilishangaa kuona baadhi ya vijiji mkoani Kigoma na hasa kule wanakotoka mawaziri Prof Ndalichako na Dr Mpango wananchi wanakunywa maji ya tope.
Sasa leo nusura nizimie baada ya kuwaona runingani wabunge wawili Asenga wa Kilombero na Babu Tale wa Morogoro kusini wakielezea shida ya maji majimboni mwao.
Yaani hapa Morogoro napo watu wanafulia tope?
Maendeleo hayana vyama!
Wabunge nao ni wachumia tumbo yaani wameshindwa hata kuja na mpango mkakati wa kuchimba visima? Hivi wanashindwa kuchimba visima kweli kwa kuwashirikisha wadau wa maendeleo? Hivi mbunge akiamasisha wananchi wachange,watumie fedha za mfuko wa jimbo na fedha za mbunge kweli wanashindwa kujenga kisima cha mil 10 hadi 15? Hivi wanashindwa kuwa na plan ya kuchimba kisima kila kata/Mtaa? Wakishachimba kisima waweke tank kubwa na watandaze mabomba kwa wanaohitaji na kusogeza maji mitaa mingine ya jirani.
Wabunge wengi ni wachumia tumbo wanajijali wao na si wananchi....kitu kidogo kama maji mpaka usubiri serikali?
Wakome kuwachagua WAPINZANI!!Kupikia maji ya tope ni sawa na kuishi bila maji.
Mpango mkakati ni kitu gani? Ni pesa?
Nimekuelewa sana bwashee!Wabunge nao ni wachumia tumbo yaani wameshindwa hata kuja na mpango mkakati wa kuchimba visima? Hivi wanashindwa kuchimba visima kweli kwa kuwashirikisha wadau wa maendeleo? Hivi mbunge akiamasisha wananchi wachange,watumie fedha za mfuko wa jimbo na fedha za mbunge kweli wanashindwa kujenga kisima cha mil 10 hadi 15? Hivi wanashindwa kuwa na plan ya kuchimba kisima kila kata/Mtaa? Wakishachimba kisima waweke tank kubwa na watandaze mabomba kwa wanaohitaji na kusogeza maji mitaa mingine ya jirani.
Wabunge wengi ni wachumia tumbo wanajijali wao na si wananchi....kitu kidogo kama maji mpaka usubiri serikali?