Kwanini baadhi ya vijiji na kata mkoani Morogoro havina maji?

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
82,754
139,561
Nilishangaa kuona baadhi ya vijiji mkoani Kigoma na hasa kule wanakotoka mawaziri Prof Ndalichako na Dr Mpango wananchi wanakunywa maji ya tope.

Sasa leo nusura nizimie baada ya kuwaona runingani wabunge wawili Asenga wa Kilombero na Babu Tale wa Morogoro kusini wakielezea shida ya maji majimboni mwao.

Yaani hapa Morogoro napo watu wanafulia tope?

Maendeleo hayana vyama!
 
Aisee unaamini binadamu naweza kuishi bila maji ?

Wamewezaje kuwa hapo miaka yote bila maji

Unajua utofauti wa kuishi bila maji au upungufu wa maji
Nilishangaa kuona baadhi ya vijiji mkoani Kigoma na hasa kule wanakotoka mawaziri Prof Ndalichako na Dr Mpango wananchi wanakunywa maji ya tope.

Sasa leo nusura nizimie baada ya kuwaona runingani wabunge wawili Asenga wa Kilombero na Babu Tale wa Morogoro kusini wakielezea shida ya maji majimboni mwao.

Yaani hapa Morogoro napo watu wanafulia tope?

Maendeleo hayana vyama!

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
 
Nilishangaa kuona baadhi ya vijiji mkoani Kigoma na hasa kule wanakotoka mawaziri Prof Ndalichako na Dr Mpango wananchi wanakunywa maji ya tope.

Sasa leo nusura nizimie baada ya kuwaona runingani wabunge wawili Asenga wa Kilombero na Babu Tale wa Morogoro kusini wakielezea shida ya maji majimboni mwao.

Yaani hapa Morogoro napo watu wanafulia tope?

Maendeleo hayana vyama!
Mitano tena bwashe! Maji safi na salama ni mradi endelevu. Tupeni mitano tena ttumalize hili tatizo mazima.
 
Nilishangaa kuona baadhi ya vijiji mkoani Kigoma na hasa kule wanakotoka mawaziri Prof Ndalichako na Dr Mpango wananchi wanakunywa maji ya tope.

Sasa leo nusura nizimie baada ya kuwaona runingani wabunge wawili Asenga wa Kilombero na Babu Tale wa Morogoro kusini wakielezea shida ya maji majimboni mwao.

Yaani hapa Morogoro napo watu wanafulia tope?

Maendeleo hayana vyama!

Wabunge nao ni wachumia tumbo yaani wameshindwa hata kuja na mpango mkakati wa kuchimba visima? Hivi wanashindwa kuchimba visima kweli kwa kuwashirikisha wadau wa maendeleo? Hivi mbunge akiamasisha wananchi wachange,watumie fedha za mfuko wa jimbo na fedha za mbunge kweli wanashindwa kujenga kisima cha mil 10 hadi 15? Hivi wanashindwa kuwa na plan ya kuchimba kisima kila kata/Mtaa? Wakishachimba kisima waweke tank kubwa na watandaze mabomba kwa wanaohitaji na kusogeza maji mitaa mingine ya jirani.

Wabunge wengi ni wachumia tumbo wanajijali wao na si wananchi....kitu kidogo kama maji mpaka usubiri serikali?
 
Tatizo lilikuwa ni chadema (wanachelewesha huduma za kijamii). Saivi tumechagua CCM ili maendeleo yaje upesi kwa spidi ya rocket. Au nasema uongo ndugu zangu?
 
Maji salama na ya uhakika ni tatizo kubwa kwa zaidi ya 75% ya vijiji/ miji/makazi ya watanzania.
Hata hivyo, kwa kuwa asilimia inayoendana na hiyo ya wananchi ni mbumbumbu wasiojua kutumia siasa kwa mahitaji yao, wameendelea kudanganywa na kuyumbishwa kama wanyama wakati wa uchaguzi.
 
Huko juu John na USSR wanaparurana, ama kweli ni wapinzani waliwachelewesha na sasa mmebaki wenyewe hamjui mumtupie nani lawama.
 
Tatio lako mleta post huwa hueleweki,
Upo ka nywele,

Kwani hayo majimbo yalikuwa yanaongozwa na wabunge wa upinzani?

Au nasema uongo ndugu zangu?
 
Subirini mpaka uwanja wa kimataifa wa mpira wa miguu ukamilike chato!Kwenye uwanja zinaenda kumwagika zaidi ya bilioni 100 kama standard ni uwe wa pili baada ya ule wa mkapa!
 
Nilishangaa kuona baadhi ya vijiji mkoani Kigoma na hasa kule wanakotoka mawaziri Prof Ndalichako na Dr Mpango wananchi wanakunywa maji ya tope.

Sasa leo nusura nizimie baada ya kuwaona runingani wabunge wawili Asenga wa Kilombero na Babu Tale wa Morogoro kusini wakielezea shida ya maji majimboni mwao.

Yaani hapa Morogoro napo watu wanafulia tope?

Maendeleo hayana vyama!
Tulikwamishwa sana na wapinzani. Sasa watapata maji Bwashee. Ngoja tumalize kufukuza waliopunguza kura kwanza.
 
Nilishangaa kuona baadhi ya vijiji mkoani Kigoma na hasa kule wanakotoka mawaziri Prof Ndalichako na Dr Mpango wananchi wanakunywa maji ya tope.

Sasa leo nusura nizimie baada ya kuwaona runingani wabunge wawili Asenga wa Kilombero na Babu Tale wa Morogoro kusini wakielezea shida ya maji majimboni mwao.

Yaani hapa Morogoro napo watu wanafulia tope?

Maendeleo hayana vyama!
Nakwasababu ya mapambio kuwa menngi karibuni hatahilo tope lakufulia litakosekana.
 
Mpango mkakati ni kitu gani? Ni pesa?
Wabunge nao ni wachumia tumbo yaani wameshindwa hata kuja na mpango mkakati wa kuchimba visima? Hivi wanashindwa kuchimba visima kweli kwa kuwashirikisha wadau wa maendeleo? Hivi mbunge akiamasisha wananchi wachange,watumie fedha za mfuko wa jimbo na fedha za mbunge kweli wanashindwa kujenga kisima cha mil 10 hadi 15? Hivi wanashindwa kuwa na plan ya kuchimba kisima kila kata/Mtaa? Wakishachimba kisima waweke tank kubwa na watandaze mabomba kwa wanaohitaji na kusogeza maji mitaa mingine ya jirani.

Wabunge wengi ni wachumia tumbo wanajijali wao na si wananchi....kitu kidogo kama maji mpaka usubiri serikali?
 
Wabunge nao ni wachumia tumbo yaani wameshindwa hata kuja na mpango mkakati wa kuchimba visima? Hivi wanashindwa kuchimba visima kweli kwa kuwashirikisha wadau wa maendeleo? Hivi mbunge akiamasisha wananchi wachange,watumie fedha za mfuko wa jimbo na fedha za mbunge kweli wanashindwa kujenga kisima cha mil 10 hadi 15? Hivi wanashindwa kuwa na plan ya kuchimba kisima kila kata/Mtaa? Wakishachimba kisima waweke tank kubwa na watandaze mabomba kwa wanaohitaji na kusogeza maji mitaa mingine ya jirani.

Wabunge wengi ni wachumia tumbo wanajijali wao na si wananchi....kitu kidogo kama maji mpaka usubiri serikali?
Nimekuelewa sana bwashee!
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom