Sosthenes Maendeleo
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 2,742
- 1,725
Nimekuwa nikiwachunguza sana madada wa siku hizi lakini sababu sikuweza kuifahamu haraka maana hata kama nipo na mpenzi wangu huwa sipendi kumuuliza jambo hili.
Siku hizi wadada wengi wanakuwa na kitambi kidogo chini ya kitovu ukilinganisha na zamani. Mdada tu akipevuka utakuta anakuwa na kakitambi fulani chini ya kitovu.
Nilijaribu kutoa majibu ya haraka labda yaweza kuwa ni sababu ya kutoa mimba, kuwa na mahusiano na wanaume wengi, matumizi ya madawa ya kutengeneza umbo nk. Naomba uongezee nk au kama siko sahihi nikosoe.
Samahani matusi sipendi mimi ni mstarabu sana nahisi kama ulivyo wewe.