Kwanini baadhi wadada/wanawake mna vitambi?

Kwanini baadhi wadada/wanawake mna vitambi?

Nimekuwa
nikiwachunguza sana madada wa siku hizi lakini sababu sikuweza kuifahamu
haraka maana hata kama nipo na mpenzi wangu huwa sipendi kumuuliza
jambo hili. Siku hizi wadada wengi wanakuwa na kitambi kidogo chini ya
kitovu ukilinganisha na zamani. Mdada tu akipevuka utakuta anakuwa na
kakitambi fulani chini ya kitovu. Nilijaribu kutoa majibu ya haraka
labda yaweza kuwa ni sababu ya kutoa mimba, kuwa na mahusiano na wanaume
wengi, matumizi ya madawa ya kutengeneza umbo nk. Naomba uongezee nk au
kama siko sahihi nikosoe. Samahani matusi sipendi mimi ni mstarabu sana
nahisi kama ulivyo wewe

dr mzizi mkavu njo hapa udhibitishe, wanatunyanyapaa huku.
 
mama zako wangapi?? km umenisoma nimesema sio wote wanarejea maumbo yao ya awali...nikimaanisha wapo wachache walioweza kurudia shape zao...inahitaji great determination kurudia shape yako ya awali...hata hao akina beyonce wana deadly routine ili wabaki km unavyowaona...

Nimekusoma Jestina usipaniki
 
Last edited by a moderator:
wadada siku hizi wnakula kinoma, juzi nilidate na mdada m1 hivi maeneo ya sinza cha kushangaza alipofika tu aliagiza kilo moja unusu ya noah huwezi amini alifikiri na mimi ni mtumiaji aliipiga yote na ugali macho yalinitoka du wadada mmezidi kula
 
Zamani hawakua na vitambi kwa sababu ya kazi nyingi walizo kua nazo lakini enzi hii wadada wengi wavivu kwani hawafanyi kazi nyingine zaidi ya kulala kazi anafanya house girl.
 
016.jpg
chezea kiepe wewe, umesahau vile vibia vifupi.
 
Back
Top Bottom