Kwanini baada ya mwanamke kumkubalia mwanaume haya mambo hutokea?

Kwanini baada ya mwanamke kumkubalia mwanaume haya mambo hutokea?

Yaan isingekua huu use...nge wa kusema hakuna mwanaume wa peke ako basi mi ningekua bonge la wife material ila sasa kwa huu upuuz wenu ndomana nasisi tukiaprochiwa tunaangalia tu kama jamaa ni bora zaidi yako tunahamisha majeshi...Jaribuni kutulia uwe tofauti na wanaume wengine muone kama kuna mwanamke atawashwa na pesa za watu wengine...hata kama huna pesa nipe sababu ya kubaki nawewe niwaache ao wenye chapaa zao...sasa wewe hela za mawazo umepanga chumba kimoja afu bado unacheat hahaa lazma nitakusumbua tuuu.
Unanisikitisha sana
 
Mimi alinikubalia mara tu simu itakata vocha sasa hivi
Baby nitumie nikamtumia
Ila na Mimi nakumbushia miadi yetu
Kila Muda ukisogea mizinga inazidi
Mzinga wa mwisho nikaudindia
Tukutane kwanza ndio nitume na yeye tuma kwanza ndio tukutane
Basi iliishia hivyo hivyo Kila mtu kivyake hadi Leo
Hhahaahhahah
 
TCU bana... First year Chuo mpk November.... Na ndio kwanza August!
 
Hii imekaaje?? Ukishamtongoza mwanamke akakubali haya mambo hutokea?!, au ndio registration fee?!:-

LUKU ya mwanamke huisha fastaa
Jiko la Gas huisha fasta

Pesa ya nauli akamsalimie mama mdogo anaumwa

Baada ya kukukubalia tuu kodi ya mwanamke ndio inakuwa imefikia wakati wa kulipa

Simu ya mwanamke huharibika na kuhitajika mpya

Ndio maana ule Uzi wa Chaputa una vijana wengi kwa sababu ya hii kitu.

ukweliii mtupu mnaotetea ndo wale mnapigwa hela Alf wahuni tunazila hela zenu kupitia hao mademu mnao wahonga......mnaambiwa ukweliii inabidi mbadilike dunia imechange............Alf waschana taften hela dunia imebadilika so Kama ile ya kula kwa jasho la mwanaume sahv ule kwa jasho lako Mana hata ukiolewa huwezi zaa watoto 15 Kama zamani saa kwann uishi kupitia jasho la mtu!?
 
Back
Top Bottom