Kwanini baada ya mwanamke kumkubalia mwanaume haya mambo hutokea?

Hii imekaaje?? Ukishamtongoza mwanamke akakubali haya mambo hutokea?!, au ndio registration fee?!:-

LUKU ya mwanamke huisha fastaa
Jiko la Gas huisha fasta

Pesa ya nauli akamsalimie mama mdogo anaumwa

Baada ya kukukubalia tuu kodi ya mwanamke ndio inakuwa imefikia wakati wa kulipa

Simu ya mwanamke huharibika na kuhitajika mpya

Ndio maana ule Uzi wa Chaputa una vijana wengi kwa sababu ya hii kitu.
Wanawake wa kiafrica ndivyo walivyo,Nina mpango wa kuimport Demu kutoka China
 
Hii imekaaje?? Ukishamtongoza mwanamke akakubali haya mambo hutokea?!, au ndio registration fee?!:-
LUKU ya mwanamke huisha fastaa
Jiko la Gas huisha fasta
Pesa ya nauli akamsalimie mama mdogo anaumwa
Baada ya kukukubalia tuu kodi ya mwanamke ndio inakuwa imefikia wakati wa kulipa
Simu ya mwanamke huharibika na kuhitajika mpya
Ndio maana ule Uzi wa Chaputa una vijana wengi kwa sababu ya hii kitu.

Inategemea na we we mwenyewe ulivomuapproach mwanamke kwa Mara ya kwanza... Kama uliji express kuwa matawi ya twiga, ndio unavuna hicho ulichokipanda kwake ili kuepuka aibu!
 
Hii inakuonyesha kuwa wanawake wengi wanatumia vitega uchumi vyao ipasavyo,,, acha sisi tuendelee na bek 3[emoji86] [emoji86] [emoji12]
 
Hii imekaaje?? Ukishamtongoza mwanamke akakubali haya mambo hutokea?!, au ndio registration fee?!:-

LUKU ya mwanamke huisha fastaa
Jiko la Gas huisha fasta

Pesa ya nauli akamsalimie mama mdogo anaumwa

Baada ya kukukubalia tuu kodi ya mwanamke ndio inakuwa imefikia wakati wa kulipa

Simu ya mwanamke huharibika na kuhitajika mpya

Ndio maana ule Uzi wa Chaputa una vijana wengi kwa sababu ya hii kitu.
Msinambie uwa mnatoaga izo pesa?? poleni mazuzu nyie.😂😂
 
Back
Top Bottom