Tumechoka sasa,, njooni na malalamiko mengine
Bahati nzuri wanaume wengi siku hiz wameanza kustukia ujinga wa kuwa na side chick za kudumu ni very expensive halafu pasua kichwa vile vile hasa kupata hivyo visms vyao ukiwa umetulia na familia yako.
Tumechoka sasa,, njooni na malalamiko mengine
SafiOeni tu mizinga yote mtaiepuka,siwezi kulipa bills za nyumbani kwangu harafu nilipie na kimada,simu ya mke wangu ikiharibika kesho naleta mpya,anatakiwa awe hewani muda wote ili mambo ya kifamilia yatatuliwe kwa wakati.