Daughterrr
JF-Expert Member
- Jun 27, 2019
- 477
- 585
Yaan isingekua huu use...nge wa kusema hakuna mwanaume wa peke ako basi mi ningekua bonge la wife material ila sasa kwa huu upuuz wenu ndomana nasisi tukiaprochiwa tunaangalia tu kama jamaa ni bora zaidi yako tunahamisha majeshi...Jaribuni kutulia uwe tofauti na wanaume wengine muone kama kuna mwanamke atawashwa na pesa za watu wengine...hata kama huna pesa nipe sababu ya kubaki nawewe niwaache ao wenye chapaa zao...sasa wewe hela za mawazo umepanga chumba kimoja afu bado unacheat hahaa lazma nitakusumbua tuuu.Hii imekaaje?? Ukishamtongoza mwanamke akakubali haya mambo hutokea?!, au ndio registration fee?!:-
LUKU ya mwanamke huisha fastaa
Jiko la Gas huisha fasta
Pesa ya nauli akamsalimie mama mdogo anaumwa
Baada ya kukukubalia tuu kodi ya mwanamke ndio inakuwa imefikia wakati wa kulipa
Simu ya mwanamke huharibika na kuhitajika mpya
Ndio maana ule Uzi wa Chaputa una vijana wengi kwa sababu ya hii kitu.