Kwanini baada ya mwanamke kumkubalia mwanaume haya mambo hutokea?

kama hutaki kugaramia watoto wazuri tuachie sisi wewe chukuwa wanaofanana na baba zao hao hata simu hawahitaji utakuwa unakula bure kama unavyotaka
 
Mwanamke kuomba omba hela na wewe kumpa kila anapoomba ndo uanaume? Mama yako akikuomba unatoa sababu million, kahaba akikuomba fasta unatuma na ya kutolea na unajiona kidume Kweli kweli... Pepo!!!
 
yaani wewe popoma kweli yaani mamayangu nisimpe nimpe mwanamke tu kumbe ndiyo maana unaogopa kuhonga au kuhudumia mwanamke kwakuwa humjali mamayako first ni mama halafu katoto kazuri lazima kahudumiwe pia kwa matumizi ya baadae
 
Kunywa soda kwa mangi......

Ukitaka kumkamua ng'ombe maziwa, hakikisha unamlisha vizuri
 
kama hutaki kugaramia watoto wazuri tuachie sisi wewe chukuwa wanaofanana na baba zao hao hata simu hawahitaji utakuwa unakula bure kama unavyotaka
Hadi hao unaowasemea nao wanataka Huduma sawa na wazuri
 
Mwanamke kuomba omba hela na wewe kumpa kila anapoomba ndo uanaume? Mama yako akikuomba unatoa sababu million, kahaba akikuomba fasta unatuma na ya kutolea na unajiona kidume Kweli kweli... Pepo!!!
Nashkuru kwa kunielewa mkuu.
 
Endeleeni tu kupiga punyeto Kwani mmekatazwa???.... Madhara mtapambana nayo wenyewe tu sisi haituhusu........ Watu gani kila siku kulialia
Kuliko kubeba majukumu yote hayo si bora nikanunue wa buku10 usiku mzima?? Kupiga nyeto ni kujitakia
 
Hadi hao unaowasemea nao wanataka Huduma sawa na wazuri
mkuu haiwezekani kwani hwaga hawajiangalii wanajuwa kabisa hata akiomba hela ni ya dagaa tembele hao wetu akiomba hela ujue anataka baga kuku mzima anakula kidogo anaacha au kitimoto
 
Huyo mzuri nishamhongaga pesa nyingi sana nikikwambiautashangaa, mwanamke hata awe mzuri vipi hana kingine cha kukupa zaidi ya ngono... Kwahiyo kama ni ngono bora nikanunue moja kwa moja ili kuepuka hasara
 
Back
Top Bottom