Kwanini baada ya mwanamke kumkubalia mwanaume haya mambo hutokea?

Kwanini baada ya mwanamke kumkubalia mwanaume haya mambo hutokea?

ukweliii mtupu mnaotetea ndo wale mnapigwa hela Alf wahuni tunazila hela zenu kupitia hao mademu mnao wahonga......mnaambiwa ukweliii inabidi mbadilike dunia imechange............Alf waschana taften hela dunia imebadilika so Kama ile ya kula kwa jasho la mwanaume sahv ule kwa jasho lako Mana hata ukiolewa huwezi zaa watoto 15 Kama zamani saa kwann uishi kupitia jasho la mtu!?
Hawaelewi Hawa, ngoja wapigwe pesa
 
Acheni waombe kwani wanaosha hiyo pochi na maji ya ndimu?
 
Mtoa Mada kila nikiona ile picha yako walioamua wakuanike na hivi unavyolalamika hapa na jina unalojiita huwa nacheka Sana

Ila umeeleweka waache kuomba sisi sio wazazi wao
 
Mtoa Mada kila nikiona ile picha yako walioamua wakuanike na hivi unavyolalamika hapa na jina unalojiita huwa nacheka Sana

Ila umeeleweka waache kuomba sisi sio wazazi wao
Kwahiyo nawewe ndio umeamini kua ni Mimi?
 
sasa kama huna pesa unahangaika na wanawake wa kazi gani bablai?
 
Hii imekaaje?? Ukishamtongoza mwanamke akakubali haya mambo hutokea?!, au ndio registration fee?!:-

LUKU ya mwanamke huisha fastaa
Jiko la Gas huisha fasta

Pesa ya nauli akamsalimie mama mdogo anaumwa

Baada ya kukukubalia tuu kodi ya mwanamke ndio inakuwa imefikia wakati wa kulipa

Simu ya mwanamke huharibika na kuhitajika mpya

Ndio maana ule Uzi wa Chaputa una vijana wengi kwa sababu ya hii kitu.
Wanawake wasioomba pesa wapo,ila tatizo moja wana vitambi
 
Back
Top Bottom