Kwanini Askofu mkuu wa Roma huingiaga msikitini??

Status
Not open for further replies.
Ukweli ni kuwa waislamu na wakatoliki lao moja. Kwa waumini wa kawaida sio rahisi kulifahamu hili lakini viongozi wao wanalijua buena. Wote hawamkubali Yesu, utashangaa kusikia hili, hata wakatoliki kumtaja Yesu ni usanii tu. Wakatoliki na waislamu wote ni ma-agent wa shetani. Ukisoma kitabu cha Ufunuo kinasema mahali fulani "Naye hola (shetani) Álamos mamlaka huyó mnyama (katoliki), naye akaenda afanye vita na watakatifu." Waislamu hawamkubali Yesu kama mwokozi na huo ni ushetani tu.

Ndiyo maana mimi sioni ajabu papa kutembelea misikiti, na siku sio nyingi zijazo uhusiano wao utaongezeka sana.
 
Hizi dini zingine zina masharti kweli kweli! Kwa hiyo papa ali silimu?
 

Naskia harufu ya usabato hapa.
 
Hizi dini zingine zina masharti kweli kweli! Kwa hiyo papa ali silimu?

Huo ndio mjadala inaotakiwa tuujadili mkuu!Je,papa alisilimu?? Na kama hakusilimu kwanini wamruhusu wakati waislam hawaruhusu?? Je wana mahusiano yoyote ya wazi au siri?
 

Eti shekhe wangu kahtaan una kubaliana kweli na maneno ya huyu jamaa Mbalinga? ana waita waislamu na wakatoriki ni mashetani?
 
Last edited by a moderator:
Jua ni kiongozi wa dini na anaiwakilisha Roma kama sehemu ya Italy inayojitegemea. Kikwete haingii kanisani? shekhe Tz haingii kanisani kwa matukio makubwa ktk ukristu?

Elewa kuwa serikali haina dini wenye dini ni wananchi kwa hiyo kiongozi wa serikali kuingia msikitini au kanisani sio tatizo
 
Elewa kuwa serikali haina dini wenye dini ni wananchi kwa hiyo kiongozi wa serikali kuingia msikitini au kanisani sio tatizo

Ya Kaisari mpeni Kaisari naya Mungu mpeni Mungu.Dini haichangamani na serikali kwa mujibu wa mafundisho ya biblia.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…