Allah alioa na ana mke mmoja anaitwa Allat na alibahatika kuzaa watoto watatu...sasa inakuwaje waislamu wa leo wanaoa wake tisa na kuzaa watoto wa kumwaga?
Acha kuweweseka wee!
Mada hapa...ni kwanini Pope/s walisali/wanasali na kufanza ibada nyanginezo kisirisiri na Waislam!?
Je kuna nini kinachoendelea!? Pope na Vatican mna siri gani na Waislam, ambazo Wakatoliki/waumini wenu wa kawaida hawazijui au hamuwaruhusu kuzijua/ku-question!? Daah! Teeeh! Teeeh! Teeeh!
mkuu vp,unamfahamu sheik twain gombesugu?
Nawapataga Vaislay??
Bukhari :: Kitabu 6 :: Juzuu 60 :: Hadith 371
Imeletwa kwenu na Anas:
Nabii wa Allah alisema: Watu watatupwa katika Jihannam, na Jihannam itasema. "Je, hakuna watu zaidi wa kuingia huku Jehannam?" (50.30) Mpaka Allah atakapo weka Mguu wake Jehannam, na Jihannam itasema, Inatosha, inatosha (qat! qat!)
Katika Sahihi hadith hapo juu, tumesoma kuwa, naye Allah atauweka mguu wake Jihannam, kwasababu Jehannam bado ilikuwa inaita watu waingie huko na au labda ilikuwa bado haija jaa. Je, wapi tumesoma kuwa Allah aliutoa Mguu wake Jehannan?
Mkuu nashukuru kwa kusahihisha vyema ili watu waelewe zaidi ili wasitoke nje ya mada.
Makka inalindwa na wakristo...
Aliingia msikitini katika kukuza harakati ziitwazo "Inter-religious Dialogue". Kanisa Katoliki linasisitiza mazungumzano na dini nyingine (Inter-religious Dialogue) na mazungumzano baina ya madhehebu mbalimbali ya Kikristo (Ecumenism)
sasa mambo ya kuhisi unamletea nani?ya kuhis discuss na demu wakoNahisi jambo kama hilo mkuu.
Kwahiyo aliingia na
kuswali ndipo hayo mazungumzo yalianza?? N.B Hayo mazungumzo ni ya
nini??
Ungeuliza kwa nini hakuna Kanisa Saudia yote wakati msikiti upo Vatican ungeeleweka zaidi
Ukweli ni kuwa waislamu na
wakatoliki lao moja. Kwa waumini wa kawaida sio rahisi kulifahamu hili
lakini viongozi wao wanalijua buena. Wote hawamkubali Yesu, utashangaa
kusikia hili, hata wakatoliki kumtaja Yesu ni usanii tu. Wakatoliki na
waislamu wote ni ma-agent wa shetani. Ukisoma kitabu cha Ufunuo kinasema
mahali fulani "Naye hola (shetani) Álamos mamlaka huyó mnyama
(katoliki), naye akaenda afanye vita na watakatifu." Waislamu
hawamkubali Yesu kama mwokozi na huo ni ushetani tu.
Ndiyo maana mimi sioni ajabu papa kutembelea misikiti, na siku sio
nyingi zijazo uhusiano wao utaongezeka sana.
Omeongea vizuri.Sasa inakuwaje kiongozi wa katoliki kwenda kusalishwa na watu wanaokataa kwamba Yesu sio mwana wa Mungu??
tupe mwanga wa hili umelishupalia sana tupe jibu yote ulioambiwa hajakutosha!
Hapa mimi sioni shida yeye kusali au kusalishwa na watu hao.kwa sababu hata biblia ukisoma wakorinto inazungumzua wale waaminio kuishi na wasio amini.
Swali kwangu ni hawa wenzetu huwa na sheria kali juu ya wasio waislamu sasa ilikuwaje wamkubalie papa (kwao ni kafiri) kusali nao. Hapa ndio naendelea kutafakari ina maana wenzetu wanatofautiana ktk kuyahandle mambo?
Nimelishupalia! wewe inakuuma nini? umelazimishwa u comment?