CARDLESS
JF-Expert Member
- Apr 2, 2017
- 7,869
- 16,014
Kwanza niweke wazi mimi sio Askari wa Jeshi lolote lile..
Ila kuna hii tabia ya Askari wengi hasa JWTZ kutolipa nauli katika magari mbalimbali ya usafirishaji..
Nimeona wamefikia hatua sasa mpaka safari ya km hadi 100 mtu mzima halipi nauli. Unakuta askari anatoka Kimara hadi KIBAHA maili moja na Sare zake afu hataki kulipa nauli..
Naomba kuwasilisha....