Kwanini Askari hawalipi naulu kwenye usafiri?

Kwanini Askari hawalipi naulu kwenye usafiri?

Huku ni kukosa busara! Vijana wa watu wanahangaika wapate chakula halafu wanakuja watu na ubabe wa kishamba hawataki kutoa nauli kwa sababu gani?
Ndio maana nikashauri muwadai wakigoma kulipa wakabeni mashati mpaka walipe nauli.
Msisahau kutuletea mrejesho jamvini
 
Mkabe umwambie akulipe Napoli, halafu uje utwambie kama amekulipa
 
Rais Magufuli alisema siku anaongea na wafanyabiashara kwamba asipowaridhirisha wanajeshi wa Tanzania watamwingilia Ikulu.

Fear for a good reason.

Wanajeshi kandamizi hawa wa dunia ya tatu hawana discpline wala heshima kwa katiba wala mtu yeyote, wanaweza kuwageuka hata wao wenyewe, imewahi kutokea.

Ile clip chafu ya Nyerere anayotukana "wajeshi malaya... mamluki malaya...wanasiasa malaya... kila kitu malaya... malaya... malaya" ni baada ya wanajeshi wa Calito Barrack kwenda kumchomoa Ikulu wakakuta kakimbilia kwenye shimo la panya Gezaulole, hadi walipo re-negotiate terms za masilahi yao na vitu watakavyokuwa wanapewa bure. Lazima wawaogope.
 
Kwanza niweke wazi mimi sio Askari wa Jeshi lolote lile..

Ila kuna hii tabia ya Askari wengi hasa JWTZ kutolipa nauli katika magari mbalimbali ya usafirishaji..

Nimeona wamefikia hatua sasa mpaka safari ya km hadi 100 mtu mzima halipi nauli. Unakuta askari anatoka Kimara hadi KIBAHA maili moja na Sare zake afu hataki kulipa nauli..

Naomba kuwasilisha....
Kwani lile liafande kubwakubwa vile nalo halilipi nauli? ila mmh yaani linavyojua kupiga ngumi vile hata akipanda na familia take sidai nauli.
 
Huyo mmoja kwa nini asilipe? Yeye ni mfanyakazi tu! Mbona Doctors wanalipa na ndiyo wa maana kielimu na kiumuhimu kuliko hata hao askari? Mbona wanafunzi wasio na kipato chochote wanalipishwa nauli?hawa askari wanaishi bure na bado wanawanyonya wanyonge!! Hawa ni makupe tu!
Hawajaanza kutolipa leo huenda we ni katoto kalichozaliwa serikali ya awamu ya nne
 
Wakidaiwa huwa wanasema "subiri unapewa" wakifika mwisho wa safari wakiulizwa wanamtishia kondakta!! Hii nimeona sana!halafu afadhali Jwtz huwa wana adabu kidogo!polisi ndiyo hawana adabu hata kidogo,konda anauliza nauli polisi anamfokea eti "utakula makofi sasa hivi"
Hahahaaa
 
Walishasamehewa mambo ya kulipa nauli...

Kwanza hawaruhusiwi kutembea na pesa wakina kwenye uniform za kazi...


Cc: mahondaw
 
Back
Top Bottom