Good Father
JF-Expert Member
- Feb 28, 2014
- 10,320
- 18,599
Polisi akikwambia utakula makofi mwambie sili makofi nimekula chakula home hapa nilipo nimeshiba, mkabe akupe nauli.Wakidaiwa huwa wanasema "subiri unapewa" wakifika mwisho wa safari wakiulizwa wanamtishia kondakta!! Hii nimeona sana!halafu afadhali Jwtz huwa wana adabu kidogo!polisi ndiyo hawana adabu hata kidogo,konda anauliza nauli polisi anamfokea eti "utakula makofi sasa hivi"
Usisahau mrejesho