Galadudu
JF-Expert Member
- Jun 23, 2014
- 2,304
- 780
Habarini za jumapili wanajamvi, hili swali nilikuwa najiuliza kwa muda mrefu sana lakini nalipuuzia, na leo tena nimeona ndio nimeamua niwaulize......nimetoka zangu kanisani nikapita sehemu kupata supu ya mbuzi......swali langu liko hapo.....kwann asilimia kubwa ya mbuzi wqnaochinjwa kwa ajili ya supu huwa ni majike? Ina maana madume nyama yao huwa haifai kwa ajili ya supu? Na kuna tetesi kuwa eti wapo baadhi ya wauza supu ambao huwa wanawanajisi kwanza hao mbuzi kabla ya kuwachinja.....!!