Kwanini anga lina rangi ya blue?

Ingekuwa Kuna rangi nyekundu ungehoji pia [emoji1]
 
Swali la msingi kwanini tuone Blue tu sio kijani? Nyesui etc...?
Mwifwa karibu..utusaidie upande wa bayolojia
Kwenye colour spectrum kila rangi Ina frequency zake, frequency varies inversely proportion to wavelength,, kwa maana nyingine pia ni kuwa kila rangi pia Ina wavelength yake,

Binadamu tunaona anga Lina rangi ya bluu kwa kuwa wave length ya rangi hiyo oi ndo mwisho wa uwezo wa macho yetu, kuna viumbe wengine wanaona rangi nyingine anga Hilo hilo
 
Mkuu nilisoma physics form 4 kwenye topic ya light nilifundishwa kuwa huo ndo mwisho wa macho yako kuona,si kwamba kuna kitu cha blue huko ila ni space tu, sasa sijui why blue hata kama ndo end of eye vision,nahisi ningesoma physics zaidi ningepata jibu.Ameeen
 
Sunlight reaches Earth's atmosphere and is scattered in all directions by all the gases and particles in the air. Blue light is scattered more than the other colors because it travels as shorter, smaller waves. This is why we see a blue sky most of the time.

 
Umenikumbusha enzi hizo nasoma...ukichora tu hivyo ticha anakupa marks zote hata kama kamchoro ni kauongo[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Wakat tunasoma topic ya LIGHT ulikua unakula tu good time...sasa ona v2 vyepesi vinakutungua mimba
Hahaaaaaaaa actually hilo lilikua outer Question ila Main nilitaka kujia process inayofanyika hadi jicho laona rangi blue
 
Hata waliosoma phizikia hawajatoa majibu kama yako.
 
Reflection of light especially from the sea... makes the sky to appear blue...


Cc: mahondaw
 
Ukitaka kujua mbwa anaona rangi gani, jibadilishe uwe mbwa afu uje utambie..
Na ww unataka kufahamu Ndo maana unataka nikshakua mbwa nkafahamu nirudi kusema. Well hilo haliwezekani mkuu. Suggest another way.
 
Jibu mjarabu.
 
Jibu mjarabu
 
Haya ni maoni yangu tu binafs,usiku anga ni jeusi na nyota tunaziona ,mchana kwa kuwa nguvu ya jua ni kubwa sana na anga nalo ni kubwa kupita kiasi ule weusi unapungua na kuonekana kama bluu hivi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…