Hamna, kufikia chalinze tu magari yanakua yashaanza kusambaa route tofauti tofauti, Lkn ili iwe na tija zaidi Ilibidi iishie morogoro.
Kipandr cha mlandizi hadi mbezi ndio lango la dar kwa mikoa mingi, kwa maana kwamba gari zote sijui kutoka mbeya, arusha, mwanza, ddm, nk.... yanashare hicho kipande