Kwanini Afrika yetu hakuna Farasi?

9a63fa77b9c12be9659bfda327f952d9.jpg
Mkuu ukiachana na hizo story za kuwepo na ku evolve kabla ya mwanadamu, kumbe hata ulaya wamepelekwa kutoka uarabini au hao arabian stallions ni jina tu?
Nipe darasa mujarabu
 
Njoo hapa arusha, ukifika tengeru nistue nkuijie uwaone na upande ila utalipia 20000 ya kumpanda per 30 mins!!
Nahisi mleta mada anamaanisha farasi kuwepo wakatumika kama punda yani siyo wale wanawekwa sehemu kupanda au kuwaona walipia kama kitu cha ajabu.
Nahisi anamaanisha kuwepo kama vile unavyofuga ng'ombe au mbwa tukawatumia kama usafiri akawa mnyama wa kawaida hata hakuna anayemshangaa
 
Inawezekana mkuu, ila wapo watu ambao hawajawahi kuona farasi inawezekana pia hajawaona live kazoea kideoni
 
Wakuletwa hao lkn siyo wa asili ya Afrika!
Ila weye upo very shallow in terms of knowledge! Unauliza farasi Africa? Jiografia unaijua kweli weye? Hebu nenda (hata kwa mawazo tu) kuanzia Nigeria, Benin, Pwani ya pembe, Masri, Tunisia, Libya Togo nk. Ukanda wote wa juu mwa Jangwa la Sahara wanao farasi wengi tu.Biblia huwa unasoma? Hukuona sehemu Farao aliwafuata Waisrael akiwa na magari ya kukokotwa na farasi? Kule ilikuwa Masri. Mfalme Sulaiman alitoka Israel kwenda Ethiopia /Kush kumuona mpenzi wake kwa farasi. Na walipomsindikiza walitumia magari ya kukokotwa na farasi. Kumbi Sahel yote ina farasi. Huko sisiemu hamjifunzi Jiografia kazi yenu kujifunza michoro ya wizi tu! Na unilipe hela ya tuition, sisiemu weye!
 
Kwa hiyo wamefia wapi? Mbona kwetu hapa hawapo? Isitoshe sijawahi kuona wala kusikia Afrika Farasi wakifanya kazi kuna Punda Tu, sasa kwa nini? Kwani Dunia nzima kulipokuwepo na Farasi kulisaidia kuleta maendeleo, walitumika vitani, usafiri kwa kifupi ndiyo ilikuwa injini yao, sasa mbona kwetu sijawahi kusikia chochote kuhusu Farasi na waliopo ni wa Askari ambao waliletwa tangu enzi ya Mkoloni lkn siyo wa asili ya hapa kwetu!
 
Barbarosa, nimekuandikia wanapatikana zaidi kaskazini na kaskazini-magharibi mwa Afrika. Wapo hadi leo hii. Tatizo lako weye ukiishika simu unadhani unaiona dunia nzima. Kule Sahara Magharibi, Sierra Leone, Mauritania, Gambia, Chad nk wapo miaka na miaka. History ya form two kwa akina Manka Kankan Musa waliwatumia farasi kama njia ya usafiri sana. Haya nilipe sasa!
 
Siyo kweli! Hakuna Farasi kusini mwa Sahara, waliokuwepo na ambao wapo ni Punda na utawaona kila mahali, lkn Farasi kama hawa wa Askari wetu hakuna Afrika yetu, hawana asili ya hapa kwetu!
 
Walikuwepo. Yule towashi muethiopia alitokewa na Filipo na kuhubiriwa alikuwa amepanda gari la farasi akirudi Ethiopia.
 
Farasi asili yake ni Asia ya kati. Sehemu zingine zote walipelekwa tu.q
 
Maendeleo Dunia nzima yalichangiwa na farasi (mnyama) na kabla ya injini ya gari kugunduliwa walikuwa wanatumia Farasi kwa karibia kila kitu na ndo maana hata uwezo wa injini hutumika neno horse power, sasa jamii zote Duniani zilizofanikiwa kujenga Ustaarabu wa maana zina Farasi ila kwetu Afrika Farasi hatuna, tuna Punda tu, lkn Punda siyo Farasi, Punda hakufikishi popote zaidi ya mateke tu, ...
Si farasi tuu.hata Dubu"Bear" hayuko Africa.Mwenyezi Mungu ndivyo alivyogawa.
 
Farasi ni kielelezo cha kutumia speed na akili nyingi katika mambo yako na punda ni kielelezo chakutumia akili kidogo na nguvu nyingi.had hapo umepata picha kwanin hakuna farasi afrika.
 
huku kulikuwa na watu wenye nguvu kuzidi hao farasi ndio maana wazungu walikuja kuwachukua wakawe watumwa huko kwao..huku tuna fisi
 
Samahani kwa kutoka nje ya mada, lakini ningependa kuongea ukweli kuwa UKRISTO SIO DINI YA HAKI, NDOMANA WAKRISTO WOOTE WAMELAANIWA, UKIWAANGALIA WAKRISTO WENGI USONI WANA SURA MBAYA KA MATAKO,
Amen, be blessed!!
 
Wakuletwa hao lkn siyo wa asili ya Afrika!
WALIKUWEPI MIAKA ZAIDI YA 6000 ILIYOPITA. YAANI MIAKA 4000BC NA HII 2000AD. SOMA BIBLIA FARAO ALIKUWA NA MAGARI YA KIVITA YA KUKOKOTWA NA FARASI. HAO MAFARAO WALIKUWA NI WAAFRIKA WEUSI NA SI WAARABU. WAZUNGU WANAONA AIBU KUWEKA HILI HADHARANI
 
Usikute walikuepogo kibao ila walikua wanaliwa kama swala...utamaduni wa muafrica ni kuchapa lapa mwendo mdundo ....ushangai mngoni katoka africa kusini kwa mguu mpaka tanganyika
 
Maendeleo Dunia nzima yalichangiwa na farasi (mnyama) na kabla ya injini ya gari kugunduliwa walikuwa wanatumia Farasi kwa karibia kila kitu na ndo maana hata uwezo wa injini hutumika neno horse power, sasa jamii zote Duniani zilizofanikiwa kujenga Ustaarabu wa maana zina Farasi ila kwetu Afrika Farasi hatuna, tuna Punda tu, lkn Punda siyo Farasi, Punda hakufikishi popote zaidi ya mateke tu, ...
Farasi gani?Mbona wapo mkuu au lugha ya kificho?
 
Mi nawaona kwenye mashirika fulani na police kwa hapa tz,nataka kujua km mtu binafsi anaruhusiwa kumiliki? Nahitaji kununua
 
Mnyama wowote waruhusiwa mradi uwe na vigezo na ufate taratibu
 
Back
Top Bottom