Kwanini Afrika yetu hakuna Farasi?

Maendeleo Dunia nzima yalichangiwa na farasi (mnyama) na kabla ya injini ya gari kugunduliwa walikuwa wanatumia Farasi kwa karibia kila kitu na ndo maana hata uwezo wa injini hutumika neno horse power, sasa jamii zote Duniani zilizofanikiwa kujenga Ustaarabu wa maana zina Farasi ila kwetu Afrika Farasi hatuna, tuna Punda tu, lkn Punda siyo Farasi, Punda hakufikishi popote zaidi ya mateke tu, ...
Nenda kikosi cha farasi kilwa road
 
Nenda kikosi cha farasi kilwa road


Waliletwa na Muzungu hao na kwa ajili ya Askari lkn siyo kwa ajili ya shughuli za kimaendeleo ambapo Farasi amechangia sana jamii nyingi kuendelea!
 
Back
Top Bottom