Egypt walikuwa na farasi toka zama na zama.Maendeleo Dunia nzima yalichangiwa na farasi (mnyama) na kabla ya injini ya gari kugunduliwa walikuwa wanatumia Farasi kwa karibia kila kitu na ndo maana hata uwezo wa injini hutumika neno horse power, sasa jamii zote Duniani zilizofanikiwa kujenga Ustaarabu wa maana zina Farasi ila kwetu Afrika Farasi hatuna, tuna Punda lkn Punda siyo Farasi, Punda hakufikishi zaidi ya mateke tu, ...
Egypt walikuwa na farasi toka zama na zama.
Ila kweli afrika kusini mwa jangwa la sahara hakuna farasi wakati almost dunia nzima farasi alikuwa anatumika katika usafiri.
Nasikia waafrika wa kwanza kuona farasi walidhani ameshikana na binadamu.
Kweli mkuu maana hawakuwahi kuona kitu kama hicho wakadhani ni kiumw cha ajabu.
Farasi ameshikana na binadamu!!?
Kublai khan jeshi lake lilikuwa na farasi, kama walitawala korea obviously walikuwepo pia.America ya kaskazin na kusini walipelekwa2
Farasi walikuepo ulaya tu na sehem kadhaa za Asia
Ata korea hawakuepo
Usijidanganye kwa movies
Sio kila ulionalo kwenye movies ni kweli
Ni kama chui wapo africa pekeake
Kuna baadhi ya wanyama wapo baadhi ya sehem pekeake2
Wewe ni Kauzu zaidi ya DagaaEgypt walikuwa na farasi toka zama na zama.
Ila kweli afrika kusini mwa jangwa la sahara hakuna farasi wakati almost dunia nzima farasi alikuwa anatumika katika usafiri.
Nasikia waafrika wa kwanza kuona farasi walidhani ameshikana na binadamu aliyempanda
Hahaha kwanini mkuu, eti sasa wakati wa vita wakawa wanamshambulia farasi wakidhani akiumia na aliyempanda anaumia ni mwili mmojaWewe ni Kauzu zaidi ya Dagaa
Umesikia kwa nani au kwa Mhenga? Zile Story za ''Basikweli'' kaweza wakimaanisha BaiskeliHahaha kwanini mkuu, eti sasa wakati wa vita wakawa wanamshambulia farasi wakidhani akiumia na aliyempanda anaumia ni mwili mmoja
Acha ubishiKublai khan jeshi lake lilikuwa na farasi, kama walitawala korea obviously walikuwepo pia.
Soma safari za macopolo hadi anarudi kwao anawahadithia aliyoyaona china wazungu wanadhani anawapiga kamba.
Kuanzia matumizi ya noti na mambo mengi hawaamini
Gengis khan alipokufa alizikwa na vijakazi wake na wakati anapelekwa kuzikwa wanajeshi waliua kila mtu waliyekuwa wanakutana naye njiani.
Mambo ya zamani bwana ya ajabu
Kublai khan jeshi lake lilikuwa na farasi, kama walitawala korea obviously walikuwepo pia.
Soma safari za macopolo hadi anarudi kwao anawahadithia aliyoyaona china wazungu wanadhani anawapiga kamba.
Kuanzia matumizi ya noti na mambo mengi hawaamini
Gengis khan alipokufa alizikwa na vijakazi wake na wakati anapelekwa kuzikwa wanajeshi waliua kila mtu waliyekuwa wanakutana naye njiani.
Mambo ya zamani bwana ya ajabu
Sijabisha ila nime assume maana Genghis alitawala almost Mongolia nzima na many parts of Asia na jeshi lake lilikuwa na farasi, hopeful aliwafikisha hukoAcha ubishi
Only some parts of Asia
Sasa unavyosema korean penusula cjui unatoa wap
Sijui hata sikumbuki lakini nilikuwa nasoma sehemu wazungu sijui waarabu walipoingia afrika wakakutana resistance toka kwa wakazi wakawa wanapigana nao vita ndivyo mwandishi akaandika hayo.Umesikia kwa nani au kwa Mhenga? Zile Story za ''Basikweli'' kaweza wakimaanisha Baiskeli