Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,785
Maendeleo Dunia nzima yalichangiwa na farasi (mnyama) na kabla ya injini ya gari kugunduliwa walikuwa wanatumia Farasi kwa karibia kila kitu na ndo maana hata uwezo wa injini hutumika neno horse power, sasa jamii zote Duniani zilizofanikiwa kujenga Ustaarabu wa maana zina Farasi ila kwetu Afrika Farasi hatuna, tuna Punda tu, lkn Punda siyo Farasi, Punda hakufikishi popote zaidi ya mateke tu, ...