Kwanini Afrika yetu hakuna Farasi?

Barbarosa

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
22,584
27,782
Maendeleo Dunia nzima yalichangiwa na farasi (mnyama) na kabla ya injini ya gari kugunduliwa walikuwa wanatumia Farasi kwa karibia kila kitu na ndo maana hata uwezo wa injini hutumika neno horse power, sasa jamii zote Duniani zilizofanikiwa kujenga Ustaarabu wa maana zina Farasi ila kwetu Afrika Farasi hatuna, tuna Punda tu, lkn Punda siyo Farasi, Punda hakufikishi popote zaidi ya mateke tu, ...
 
Maendeleo Dunia nzima yalichangiwa na farasi (mnyama) na kabla ya injini ya gari kugunduliwa walikuwa wanatumia Farasi kwa karibia kila kitu na ndo maana hata uwezo wa injini hutumika neno horse power, sasa jamii zote Duniani zilizofanikiwa kujenga Ustaarabu wa maana zina Farasi ila kwetu Afrika Farasi hatuna, tuna Punda lkn Punda siyo Farasi, Punda hakufikishi zaidi ya mateke tu, ...
Egypt walikuwa na farasi toka zama na zama.
Ila kweli afrika kusini mwa jangwa la sahara hakuna farasi wakati almost dunia nzima farasi alikuwa anatumika katika usafiri.
Nasikia waafrika wa kwanza kuona farasi walidhani ameshikana na binadamu aliyempanda
 
Nasikia waafrika wa kwanza kuona farasi walidhani ameshikana na binadamu.

Farasi ameshikana na binadamu!!?
 
Farasi ameshikana na binadamu!!?
Kweli mkuu maana hawakuwahi kuona kitu kama hicho wakadhani ni kiumw cha ajabu.
Beira babyboy angekuwepo enzi hizo wasingeshangaa sana maana wangeshamuona kaapanda fisi.
 
America ya kaskazin na kusini walipelekwa2
Farasi walikuepo ulaya tu na sehem kadhaa za Asia
Ata korea hawakuepo
Usijidanganye kwa movies
Sio kila ulionalo kwenye movies ni kweli
Ni kama chui wapo africa pekeake
Kuna baadhi ya wanyama wapo baadhi ya sehem pekeake2
 
Kublai khan jeshi lake lilikuwa na farasi, kama walitawala korea obviously walikuwepo pia.
Soma safari za macopolo hadi anarudi kwao anawahadithia aliyoyaona china wazungu wanadhani anawapiga kamba.
Kuanzia matumizi ya noti na mambo mengi hawaamini
Gengis khan alipokufa alizikwa na vijakazi wake na wakati anapelekwa kuzikwa wanajeshi waliua kila mtu waliyekuwa wanakutana naye njiani.
Mambo ya zamani bwana ya ajabu
 
Egypt walikuwa na farasi toka zama na zama.
Ila kweli afrika kusini mwa jangwa la sahara hakuna farasi wakati almost dunia nzima farasi alikuwa anatumika katika usafiri.
Nasikia waafrika wa kwanza kuona farasi walidhani ameshikana na binadamu aliyempanda
Wewe ni Kauzu zaidi ya Dagaa
 
Farasi pia wapo sana Ethiopia. Wananchi wa vijijini wanawatumia kwa usafiri wao binafsi.
 
Hahaha kwanini mkuu, eti sasa wakati wa vita wakawa wanamshambulia farasi wakidhani akiumia na aliyempanda anaumia ni mwili mmoja
Umesikia kwa nani au kwa Mhenga? Zile Story za ''Basikweli'' kaweza wakimaanisha Baiskeli
 
Kublai khan jeshi lake lilikuwa na farasi, kama walitawala korea obviously walikuwepo pia.
Soma safari za macopolo hadi anarudi kwao anawahadithia aliyoyaona china wazungu wanadhani anawapiga kamba.
Kuanzia matumizi ya noti na mambo mengi hawaamini
Gengis khan alipokufa alizikwa na vijakazi wake na wakati anapelekwa kuzikwa wanajeshi waliua kila mtu waliyekuwa wanakutana naye njiani.
Mambo ya zamani bwana ya ajabu
Acha ubishi
Only some parts of Asia
Sasa unavyosema korean penusula cjui unatoa wap
 
9a63fa77b9c12be9659bfda327f952d9.jpg
 
Acha ubishi
Only some parts of Asia
Sasa unavyosema korean penusula cjui unatoa wap
Sijabisha ila nime assume maana Genghis alitawala almost Mongolia nzima na many parts of Asia na jeshi lake lilikuwa na farasi, hopeful aliwafikisha huko
 
Umesikia kwa nani au kwa Mhenga? Zile Story za ''Basikweli'' kaweza wakimaanisha Baiskeli
Sijui hata sikumbuki lakini nilikuwa nasoma sehemu wazungu sijui waarabu walipoingia afrika wakakutana resistance toka kwa wakazi wakawa wanapigana nao vita ndivyo mwandishi akaandika hayo.
Sikumbuki ilikuwa wapi na sikumbuki kama niliaoma mtandaoni au kwenye kitabu ila nilisoma hiyo habari...
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom