No my dear,ni lazima kulikuwa na sababu.Inawezekana uliamua kuingia katika ndoa kwa sababu tu ndivyo utaratibu jinsi ulivyo,mtu wa umri wako ni lazima awe katika ndoa.Lakini lazima kulikuwa na sababu
sababu yenyewe ndio hiyo chemistry!!!!
You know how chemistry works, yaani hata ukimwona hununi, hukasiriki kwa vitu vidogo vidogo, hamgombani hovyo na kila wakati unapenda muwe pamoja. Mna story zisizoisha, kila siku mnalala saa nane za usiku mkiongea na kucheka. Soo compatible...... hapo je kuna kufikiria ndoa mara mbili? inakuja tuuu.
Lakini sina uhakika kama ndio hili haswaa lilonitia ndoani. Wengi wa wanandoa wanajikuta ndoani bila kuwa na sababu. Inatokea tu.