kwani kumchezea mtu maana yake nn?

Crashwise hapo ni balaa kama mtu anakuambia wazi kuwa hapa natamani hicho tuu na wala sina mpango na wewe. Wengine tumeumbwa na mshipa wa aibu ni lazima niingie na gia kubwa ya kukufanyia hili na lile kumbe dhamiri hapo inanisuta. Ninachohitaji ni kimoja tuu.
 
Kuchezea ngoja turudi darasa la 3 tuinyambulishe kwanza

-cheza
-chezea
-chezeana
-chezewa
-chezesha

cheza=just have funny,kiburudisho,not ukweli eg.boxing kama vita lakini sio vita

Kwahiyo kuchezea ni kutumia kitu flani kama kiburudisho,sio serious
 
Je ni kuchezewa au kuchezeana? Hapa wote wana makosa, inakuwaje bint akubal kudo b4 ndoa, alafu baadaye aje na hadithi za kuchezewa/kuharibiwa maisha, cfikiri kama ni sahihi
 
kumchezea mtu ni pale
mwanamke anapokuonyesha anakupenda kumbe
anajali yeye kitu kimoja kati ya hivi..
1.pesa zako na na unavyomgharamia tu..
2.sex na perfomance yako kitandani.

Yaani mi nilikuwa natafsiri vingine kabisa...........
Yaani nilidhani "akipewa kitu fulani ndio atacheza"...nikidhani hicho "kitu" ndio kitampa munkari wa kucheza...........
 
nasikia watu wengi wakisema ata wanamuziki wanaimba,kwani ukinipa nitakuchezea?ndio maana yake nn?nifungueni kichwa basi.

source please...kupeana ni kitu muhimu sana katika maisha ya mwanadamu, chukua mfano....tanzania inapewa misaada kibao tu na nchi zilizoendelea lkn swali Je, misaada inafika kwa walengwa? Ukijibu hapo nadhani swali lako liko wazi....yes ukipewa utachezea
 
Kweli inaonesha you are still young kuuliza ilo swali.... enways
Kumchezea mtu ni ile hali ya kua na mtu
(mara nyingi mpenzi.... but hata urafiki wa kawaida)
ukionesha malengo juu yake ambayo ni tofauti kabisa
na malengo yako ya kweli rohoni.
...


Ashadii vipi nikikualika for a cup of tea or coffee today? You made it....nimemwambia hata mie na nimempa mfano tu....Iwapo tuseme african countries zinapata misaada bwena from developed countries lkn hiyo misaada inaishia kwa wenye kujua na haifiki kwa walengwa ni mfono mzuri tu wa KUCHEZEA...lkn wewe umeua kabisa....ila msamehe ni mpya hapa akikua atajua jinsi ya kutongoza wanaJF
 
Kuchezea ngoja turudi darasa la 3 tuinyambulishe kwanza-cheza-chezea-chezeana-chezewa-chezeshacheza=just have funny,kiburudisho,not ukweli eg.boxing kama vita lakini sio vitaKwahiyo kuchezea ni kutumia kitu flani kama kiburudisho,sio serious
chezeaneni, chezewa nk, ulisahau.
 
Back
Top Bottom