Elections 2010 Kwani Kikwete ana tatizo gani?

Kama kweli mbona dr.slaa ndiye amekuwa akiiongoza serikali ya kikwete kupitia hoja zake zilizojaa ukweli na zilizopangika......kuna mabo mengi kikwete asingeweza kufanay bila msukumo wa kikwete................
Slaa ni zaidi ya kikwete kwani ndiye aliyemsaidia kuendesha nchi japo yeye kawekwa mfukoni mwa akina rostam na lowasa
 
Jamani mi naomba nijibiwe swali lifuatalo.
kwa mujibu wa hiyo picha hapao. cheki kwa maneno imeandikwa dola laki mbila wakati kwa tarakimu imeandikwa 300,000/
Kama raisi wa nchi alilichuliaje hilo?
 
tatizo sisi...sisi wote hatuko makini na yeye ni kioo cha jamii na jamiii ni sisi

tunaishi hivyo wote, hatuko makini, nk.

Unachokiona kwenye hiyo picha ndiyo reflection ya jamii ya watanzania, umakini mdogo na rabsha nyingi

hata vitabu vya dini vinasema tutapata viongozi wanaofanana na sisi. Sioni sababu ya kumlaum bwanamkubwa maana kama porojo mbona hata hapa JF tupiga sana porojo tu?
 
Lukolo,

Baada ya uchaguzi Slaa atashtakiwa kwa kutembea na mke wa mtu...

Slaa hana ubavu wa kuwa rais tanzania...hana uwezo huo...

Mtaalamu wa kanuni za kanisa....are you serious?

Unaweza kumlinganisha na Rais wa nchi..JK
hii ni profession siku hizi?

Mbona mtoa mada hajaongea chochote kuhusu Dr.Slaa? Wewe unakurupuka tu kama kawaida **** na wenzako. Kama mmetoka kwenye usingizi wa mchana.

Issue ni kwamba, JK sio kiongozi makini.
 
Lukolo,

Baada ya uchaguzi Slaa atashtakiwa kwa kutembea na mke wa mtu...

Slaa hana ubavu wa kuwa rais tanzania...hana uwezo huo...

Mtaalamu wa kanuni za kanisa....are you serious?

Unaweza kumlinganisha na Rais wa nchi..JK


slaa ana akili za kuzini na wake za watu. ati mtu anajisifu kuwa yule wa mwanzo hatukuoana ila tulizaa tu, si uzinzi kitu gani?

mtu alie padri anaweza kusema haya mbele ya umma? halafu anachukua mke wa mtu bila ya kumuuliza hicho cheti cha kuachika kwa mumeo kiko wapi ?


huyu ni muhuni tu
 
Tumain bana, kazi kwelikweli. Habari ya Kikwete wewe unaleta Slaa, ovyoooooo........

Halafu mtu kama huyu ndiyo ajuwe fulani ana akili zaidi ya fulani..............

Mbona unamtetea mwenye mke? Wee ndiye basha wake?

Mmemharibu jamaa ya watu hadi mkewe kamkimbia na sasa mwaja kumtetea......

Shoga na Teja siku zote ni watu wa kukimbiwa na wake zao na kibanda chao.....
 
Mwaka huu mtahaha sana.......hhahahaaa! kwikwi kwiii!!!!
 

Utatu Mtakatifu. Kampeni za SHUKA KWA SHUKA...............
 
Mwingine mpya anapelekwa bungeni sasa ili Wazee wapumzike...... Ama kweli vidume vya mbegu.................


Makamba alikuwa na shida ya kutongoza basi AKABAKA. January na Mwamvita Makamba, mtafuteni ndugu yenu, product ya Kubakwa binti wa watu masikini. Halafu utakuta mtu anakana si mwanangu kama yule Polisi wenu Mahita. Mtu mzima ovyoooooooooo...............
una maanisha nn ? wetu huyo ni dume la mbegu, hana wasi wasi kazi yake tunaijua ila huyo wenu kujipa usafi asio nao
 
tukianzisha thread inayomuhusu mchungaji slaa JF wanaipiga pini tunapewa link ya sheria za JF.. mbona hapa jamaa ametukana RAISI wetu katika sentensi yake ya pili!...
neways ni kwamba! raisi wetu sio bogus ndio maana wa tanzania walio wengi wamemuamini na kumpa madaraka wa kuongoza nchi.!
 

Mtachaguaje raisi mgonjwa? ugonjwa wenyewe unajulikana..................
 
Lukolo,

Baada ya uchaguzi Slaa atashtakiwa kwa kutembea na mke wa mtu...

Slaa hana ubavu wa kuwa rais tanzania...hana uwezo huo...

Mtaalamu wa kanuni za kanisa....are you serious?

Unaweza kumlinganisha na Rais wa nchi..JK

Mkuu hapa naona kama unatokota na si kuchemka. Walishindwa kumfungulia mashitaka pale alipotaja first 11 wa timu ya mafisadi. Mpaka leo hawajui pa kuanzia. What about Makamba aliyebaka mwanafunzi? Hadi leo hajakanusha, kama kashindwa kukanusha hadharani anaweza kumtuma January on behalf. Na sijui Mrs. Makamba alijua hilo.
Nitamlaumu Slaa kama Mrs. makamba akiomba talaka......aahahah...aaghagha:lol:
 

Unaamini Kweli Kikwette anaweza kutekeleza haya aliyokwishaahidi?
1) Usafiri wa treni Dar
2) Meli kubwa Bukoba
3) Meli kubwa kule Mbeya/Kyela?
4) Uwanja wa ndege wa kimataifa Kigoma
5) Kujengea wahanga wa mafuriko nyumba Kilosa?
6) Kujenga EPZ, Bandari na Uwanja wa ndege Bagamoyo
nk?

Kama ana akili zaidi ya Slaa, sijui unatumia kipimo gani! Lakini la msingi yeye ameshatuonyesha madhaifu yake mengi kulliko mtu mwingine yeyote, labda kauli yako iwe na Slaa ni potentially mdhaifu kwa kuwa hivi na hvi, lakini iiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
Jmani tumeisha jua Dr slaa ameiba mke wa mtu, basi inatosha tusubiri action ya mwenye mke kama atamburuza mahakamani akiwa rais
tuangalie na sera zake kama zinatekelezeka
 
ndiyo mwenyewe huyo siyo kama yaani ndiye original huyo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…