Kwani huyu Mkurugenzi wa tume ya mchongo nani kamwambia sisi tunataka kuongezewa muda wa kujiandikisha kupiga kura?

Genius Man

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2024
Posts
3,560
Reaction score
7,914
Kwani huyu Mkurugenzi wa tume ya mchongo nani kamwambia sisi tunataka kuongezewa muda wa kujiandikisha kupiga kura?

Sisi hatushiriki uchaguzi bila mabadiliko ya kiuchaguzi kama yeye amechaguliwa na samia ambaye ni mgombea hakuwezi kuwa na uchaguzi wa haki kuna kupotezeana muda na hatupo tayari.

Tuache kulitumia neno uchaguzi vibaya !
 
Anataka waongeze siku za kupiga pesa
 
Kwani huyu Mkurugenzi wa tume ya mchongo nani kamwambia sisi tunataka kuongezewa muda wa kujiandikisha kupiga kura?

Sisi hatushiriki uchaguzi bila mabadiliko ya kiuchaguzi kama yeye amechaguliwa na samia ambaye ni mgombea hakuwezi kuwa na uchaguzi wa haki kuna kupotezeana muda na hatupo tayari.

Tuache kulitumia neno uchaguzi vibaya !
anawaambia wale wanachama wa CHAUMMA
 
Hii inatokana na vituo kufurika hadi siku ya mwisho

Wanafanya uungwana ili kila Mtanzania apate haki yake ya kikatiba
 
Kwani huyu Mkurugenzi wa tume ya mchongo nani kamwambia sisi tunataka kuongezewa muda wa kujiandikisha kupiga kura?

Sisi hatushiriki uchaguzi bila mabadiliko ya kiuchaguzi kama yeye amechaguliwa na samia ambaye ni mgombea hakuwezi kuwa na uchaguzi wa haki kuna kupotezeana muda na hatupo tayari.

Tuache kulitumia neno uchaguzi vibaya !
Ikionekana inafaa,
Tume huru ya Taifa ya Uchaguzi nchini ina wajibu wa kuongeza muda wa kujiandikisha kwenye daftari la kudumu la wapiga kwa maslahi mapana ya wananchi 🐒
 
Kwani waliojiandikisha hawatoshi au wanawasiwasi gani? kama kuna mtu wana muhitaji Wakatumie Data base ya Nationa Identification(NIDA).

Kule NIDA nako walicharuka wananchi waligoma kufuata vitambulisho vyao wakasusa, hahah nchi hii siyo mchezo.
 
Sasa kama kuna watu hawashiriki inamaanisha hilo tangazo haliwahusu, mbona simple tuu wakuu kwan hii ilikuwa na ulazima wa kulianzishia uzi?
 
Kama umekidhi vigezo vya kupiga kura na hujajiandikisha inabidi ukamatwe na ufungwe kwa kosa la uhaini
 
Back
Top Bottom