emmadizzo
JF-Expert Member
- Jan 17, 2017
- 1,340
- 1,438
Itakuwa allah kawapigahawana ujanja kabisa, kesi yao ya Mbeya mbona hawaiongelei tena?
Nasikia mawakili uchwara walikula fimbo usiku hawajuwi zinapotokea.
Kafie huko ccmKWANI CHADEMA WAMEITA KONGAMANO LA INJILI?
Na Thadei Ole Mushi.
Kosa la Kifuufundi hili Chadema wamelifanya.
1. Sakata la Bandari toka awali lilianza kuhusishwa na imani za Kidini.
2. Mkutano wa Keshokutwa wa Chadema wazungumzaji wanne kati ya 13 ni viongozi wa dini ya Kikristu.
4. Wengine Tisa waliobakia pia ni wa madhehebu ya Kikristu.
5. Katika Sayansi ya Siasa hapa Chadema Wamenesa bila kujua.
6. Inductive na Deductive appoach zote kwa pamoja zinaruhusu watu wa-Draw conclusion kuwa Chadema na Ukristu ni vitu vibavyokwenda Sambamba.
7. Nilitamani wangerekebisha hili Kosa kwa kuwa Chadema tunaitegemea kama Chama Mbadala wa CCM. Siku CCM ikichoka kuendesha nchi Chadema ichukue Nchi.
8. Nafikiri hawa Maaskofu na Mapadre na Wachungaji ni vizuri zaidi wangekuwa wanatolea misimamo yao kwenye mimbari ya kanisa na sio kwenye majukwaa ya Kisiasa.
9. Cardinali pengo aliwahi kutuasa tusichanganye Siasa na Dini ni hatari.
10. Fanyeni Mpango leo na Kesho mchanganye wazungumzaji ili kuleta umoja wa Kitaifa. Huu ni mkutano wa kisiasa sio mkutano wa maombi.
Ukweli lazima usemwe tu chadema na udini ni pete na kidole. Kuanzia leo narudisha kadi ya chadema naenda CCM!
Hata usipokipenda watakipenda wengine.Ukweli hiki chama nilikuwa nakipenda sana, lakini kila nikitafakari, ukanda wao na udini! Narudi nyuma. Hiyo siku walekebishe kama wanatusikia.
nKWANI CHADEMA WAMEITA KONGAMANO LA INJILI?
Na Thadei Ole Mushi.
Kosa la Kifuufundi hili Chadema wamelifanya.
1. Sakata la Bandari toka awali lilianza kuhusishwa na imani za Kidini.
2. Mkutano wa Keshokutwa wa Chadema wazungumzaji wanne kati ya 13 ni viongozi wa dini ya Kikristu.
4. Wengine Tisa waliobakia pia ni wa madhehebu ya Kikristu.
5. Katika Sayansi ya Siasa hapa Chadema Wamenesa bila kujua.
6. Inductive na Deductive appoach zote kwa pamoja zinaruhusu watu wa-Draw conclusion kuwa Chadema na Ukristu ni vitu vibavyokwenda Sambamba.
7. Nilitamani wangerekebisha hili Kosa kwa kuwa Chadema tunaitegemea kama Chama Mbadala wa CCM. Siku CCM ikichoka kuendesha nchi Chadema ichukue Nchi.
8. Nafikiri hawa Maaskofu na Mapadre na Wachungaji ni vizuri zaidi wangekuwa wanatolea misimamo yao kwenye mimbari ya kanisa na sio kwenye majukwaa ya Kisiasa.
9. Cardinali pengo aliwahi kutuasa tusichanganye Siasa na Dini ni hatari.
10. Fanyeni Mpango leo na Kesho mchanganye wazungumzaji ili kuleta umoja wa Kitaifa. Huu ni mkutano wa kisiasa sio mkutano wa maombi.
Ukweli lazima usemwe tu chadema na udini ni pete na kidole. Kuanzia leo narudisha kadi ya chadema naenda CCM!
Kawaulize machifu wa mbeya.Itakuwa allah kawapiga
This is "MATOPE"KWANI CHADEMA WAMEITA KONGAMANO LA INJILI?

Mkuu,Hii nchi kwa akili kama yako tutasubori sana. Kwani askofu anatoa maoni kama askofu au kama mwananchi? Kwahiyo kama mtu ni askofu anakosa haki ya kuwa mwananchi? Ccm imefanikiwa sana kwenye hili eneo.....
Huyo ni team MwendazakeHaahaaaa mpaka na wewe chawa umeichoka CCM? Aiseee kwisha habari
Hata mimi sikubaliani na mkataba kabisa ila hii approach inaleta mgawanyiko na wateteaji wanaitumia vilivyo. Maaskofu wangeendelea kupga kelele kivyaoKWANI CHADEMA WAMEITA KONGAMANO LA INJILI?
Na Thadei Ole Mushi.
Kosa la Kifuufundi hili Chadema wamelifanya.
1. Sakata la Bandari toka awali lilianza kuhusishwa na imani za Kidini.
2. Mkutano wa Keshokutwa wa Chadema wazungumzaji wanne kati ya 13 ni viongozi wa dini ya Kikristu.
4. Wengine Tisa waliobakia pia ni wa madhehebu ya Kikristu.
5. Katika Sayansi ya Siasa hapa Chadema Wamenesa bila kujua.
6. Inductive na Deductive appoach zote kwa pamoja zinaruhusu watu wa-Draw conclusion kuwa Chadema na Ukristu ni vitu vibavyokwenda Sambamba.
7. Nilitamani wangerekebisha hili Kosa kwa kuwa Chadema tunaitegemea kama Chama Mbadala wa CCM. Siku CCM ikichoka kuendesha nchi Chadema ichukue Nchi.
8. Nafikiri hawa Maaskofu na Mapadre na Wachungaji ni vizuri zaidi wangekuwa wanatolea misimamo yao kwenye mimbari ya kanisa na sio kwenye majukwaa ya Kisiasa.
9. Cardinali pengo aliwahi kutuasa tusichanganye Siasa na Dini ni hatari.
10. Fanyeni Mpango leo na Kesho mchanganye wazungumzaji ili kuleta umoja wa Kitaifa. Huu ni mkutano wa kisiasa sio mkutano wa maombi.
Ukweli lazima usemwe tu chadema na udini ni pete na kidole. Kuanzia leo narudisha kadi ya chadema naenda CCM!
Samia akisikia tu salamaleko, anauliza nisaini wapi?
Kinachotakiwa ni facts, ziwe zimetoka kwa muislamu, mkristo, mhindu au asiye na dini siyo tatizo.Nilikuwa namwambia mtu jana kwamba kuwaingiza sana viongozi wa kidini katika hili jambo ni mistake.
Wananchi wengine watapata signal kwamba hili ni suala la upinzani wa kidini. Hususan wakristo wanampinga rais muislamu.
Majuzi Peter Madeleka katika press conference alikuwa ana ji contradict.
Alikuwa anaponda point aliyoambiwa ya kuwaamini viongozi, akasema hili ni suala la sheria, si suala la imani, mambo ya imani tuyaache kanisani.
Alikuwa anasema hivyo huku kakaa pembeni ya Askofu. Askofu aliyekuja kuingelea suala hilihili. Contradiction.
Halafu akaendelea kusema habari za Mungu this, Mungu that. Anafuta point yake ya kulifanya jambo hili liwe la kisheria na secular.
Tunataka mazungumzo secular kwa masuala secular, yani hata kama wewe Askofu, ukija kuzungumzia suala hili, vua makofia yako ya uaskofu.
Sheria ipi inayomkataza Askofu kutoa maoni yake? kwani Askofu sio raia wa Tanganyika anayelindwa na Katiba inayompa uhuru wa kutoa maoni?Askofu anatoaje maoni yake bila kuleta maswali kwamba suala hili ni la udini?
Madeleka kasema hili suala ni la kisheria, habari za imani acheni kanisani, mbona hata sheria nazo hazikubali rushwa? Kwa nini tusikemee rushwa ki secular kwa sheria bila kuhusisha dini?
Huoni kukemea rushwa kidini wakati mmeshasema mambo ya imani acheni kanisani ni contradiction?
Kama mafundisho ya kidini yanakemea rushwa, na wale wana dini zao wamekula rushwa, huoni kwamba mafundisho ya kidini hayasikilizwi, tunatakiwa kujenga legal case na kuwashitaki watu kisheria bila kutegemea dini?
Lini kimepiga ishara ya msalaba?Acha kuzeeka na uhuni wako wewe!Hiki ni chama cha kidini.
KKKT tatizo Lina viongozi wa ovyoKWANI CHADEMA WAMEITA KONGAMANO LA INJILI?
Na Thadei Ole Mushi.
Kosa la Kifuufundi hili Chadema wamelifanya.
1. Sakata la Bandari toka awali lilianza kuhusishwa na imani za Kidini.
2. Mkutano wa Keshokutwa wa Chadema wazungumzaji wanne kati ya 13 ni viongozi wa dini ya Kikristu.
4. Wengine Tisa waliobakia pia ni wa madhehebu ya Kikristu.
5. Katika Sayansi ya Siasa hapa Chadema Wamenesa bila kujua.
6. Inductive na Deductive appoach zote kwa pamoja zinaruhusu watu wa-Draw conclusion kuwa Chadema na Ukristu ni vitu vibavyokwenda Sambamba.
7. Nilitamani wangerekebisha hili Kosa kwa kuwa Chadema tunaitegemea kama Chama Mbadala wa CCM. Siku CCM ikichoka kuendesha nchi Chadema ichukue Nchi.
8. Nafikiri hawa Maaskofu na Mapadre na Wachungaji ni vizuri zaidi wangekuwa wanatolea misimamo yao kwenye mimbari ya kanisa na sio kwenye majukwaa ya Kisiasa.
9. Cardinali pengo aliwahi kutuasa tusichanganye Siasa na Dini ni hatari.
10. Fanyeni Mpango leo na Kesho mchanganye wazungumzaji ili kuleta umoja wa Kitaifa. Huu ni mkutano wa kisiasa sio mkutano wa maombi.
Ukweli lazima usemwe tu chadema na udini ni pete na kidole. Kuanzia leo narudisha kadi ya chadema naenda CCM!
Kwanza kabisa hakuna kitu kama raia wa Tanganyika.Sheria ipi inayomkataza Askofu kutoa maoni yake? kwani Askofu sio raia wa Tanganyika anayelindwa na Katiba inayompa uhuru wa kutoa maoni?
Kwenye mambo ya jamii, serikali hutaka msaada toka kwa viongozi wa dini kuiasa jamii kuhusu mambo mbalimbali, iweje mambo yakihamia upande wao viongozi wa serikali muanze kuwakataza viongozi wa dini kutoa maoni yao?
Unataka hiyo rushwa ikakemewe wapi, kanisani? ili tena kesho mje kusema wanapeleka siasa kanisani? Kwanini hutaki viongozi wa dini wakemee rushwa, hasa kama waumini wao wanahusika? usiwafunge mdomo.
Hebu tulieni, viongozi wa dini ni haki yao kutoa maoni yao popote ilimradi hawavunji sheria za nchi, tusidanganyane kwa sababu nyepesi.
Naam,Kinachotakiwa ni facts, ziwe zimetoka kwa muislamu, mkristo, mhindu au asiye na dini siyo tatizo.
Ni umasikini wa fikra kuanza kujadili dini zetu katika mambo ya siasa za kitaifa.
Dini zenyewe ni aina ya njia za kumdhalilisha, kumtawala, kumnyonya na kumdidimiza mwafrika kwa ujumla zilizotumiwa tangu enzi za utumwa na ukoloni.
Tunaongelea mkataba wa kutoa bandari Bure Kwa waarabu hakuna dini paleTatizo siasa sijui mmeanza kufuatilia juzi, nani asiyemjua Askofu Mwamakula?, Na Padri Kitima je, vipi kuhusu Dkt Slaa? Yaani hata kama huna kumbukumbu basi hata google tu uone harakati zao since wayback na changamoto walizopitia kabla ya kuongea Shudu kuwa wameibukia kwenye huu mkataba
Hata wewe kama ni muislamu unakaribishwan
Nakubaliana nawe
Chadema mumeshindwa kupata wazungumzaji waislamu? Yaani wamejaza maaskofu?
Kwanini msiwatafute kina Sheikh Ponda, Mwalimu Mwalimu, jenerali Ulimwengi na Prof Issa bin Shivji?
We nesi mkunga endelea kuzalisha kwenye siasa ma masilahi ya kitaifa inaonekea uelewa wako ni mdogoKWANI CHADEMA WAMEITA KONGAMANO LA INJILI?