Kwani cha usiku na cha alfajiri kipi kitamu?

Kwani cha usiku na cha alfajiri kipi kitamu?

Ngono/Tendo la ndoa ni moja kati ya kiburufisho kusicho na mfano wala utamu wake haulinganishwi na hakuna asiyehudhuria haka kasemina myb wewee unayekataa ictamkwe uenda unatatizo la jongoo kutopanda mtungiiiiiii. Mawazo yako mwenyewe ya all z day 95% ni kugegedana.
 
All z tym ni kitamu haswa mtoaji na mtoa wanapokuwa huru na kutobaniana na kuckilizana mawazo yao na pia hii mitambo isiwe ya shirika, i mean isiwe ya share kugawagawa kwa kila mtu coz ikiwa ni ya kutumika sana kwa kila mtu kila kona akyanani inashukaga kiwango cha utamu.
 
Aaah lakini morning glory achana nayo. Tena sio ya alfajiri ile ya asubuh kabisa ushavaa suti yako na tai halafu anavivua vyote unapiga cha fasta hadi unachelewa kazini
Mkuu, utamu wa pipi ni mate yako mwenyewe - iwe ni usiku au mchana ni wewe tu.
 
Tatizo nyie mnakaa mijini (Dar) sie huku mikoani ikifika weekend mnaweza mkawa kila mtu na mishe zake but jioni sasa!! Mnatoka evening walk, mnafika mahali pembeni kabisa mwa mji sehemu iko safe kwenu, mnatulia hapo mnapiga story na vinginevyo kama mmebeba then huku na kule mnajikuta mnakamua cha kinguo nguo hahahaaaaa!!

Utaona mwenzi wako kila weekend analazimisha evening walk hata kama hutaki!! Cha porini ni nomaaaa, jaribu uone
mmmmm, kama ni noma mie sitaki hata kujaribu
 
uuuwiii nmemis sana io kitu jmn nahiv bamsap ananijulia bas ni burudan had ra! cha usiku kna raha yake na cha alfajir kna raha yake banaaa
 
Mara nyingi tupandapo vitandani mwetu baada ya mishemishe za siku nzima huwa tumechoka kwahiyo hata ile makitu hatuifaidi kivile, lakini ukiupa mwili muda wa kupumzika na ukaidamkia dayb na kile kibaridi chake ladha na utamu wake huongezeka mara dufu
Japo kuna wakati pia cha kulalia nacho kina hamu zake hasa kama siku hiyo huna stress na umemkuta mwenzi wako keshajiandaa
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]long time ago
 
au umetoka kuoga unatupa taulo kureeee halafu mama anajifanya kama kuna kitu anaokota uvunguni
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji87] [emoji87] [emoji85] [emoji85] [emoji85]
 
Cha asubuh ni shkamoooooooooo
1470767915773.jpg
kinatoa quality tupu[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Yaaah coz baada ya uchovu wa kutwa nzima unaporud nyumban unakua umechoka ila mtaweza kufanya tu coz ni kajtamadun fulan HV ila asubuh unakuta akil imeshatulia kwahyo kuna kua na kiuskivu fulan HV katk hlo zoez
 
cha porini
cha jikoni
cha sitting room
cha dining
cha usiku
cha asubuhi
cha mchana
cha wizi
cha bure
cha ugomvi
cha kusuluhisha
[emoji12]
 
Back
Top Bottom